Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa .
Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni
Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi.
Karibuni wenye ueledi juu ya hili
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza...
Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa wagonjwa.
Mamlaka zinapaswa kuingilia kati hali sio nzuri kwani usumbufu ni mwingi sana kwa wagonjwa...
Anonymous
Thread
afya
ibada
karibu
nyumbanyumba za ibada
vituo
vituo vya afya
Habari za muda huu ndugu zangu,
naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
Wakuu,
Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.
Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu.
Mahali mwanza Jiji
Habari za mvua Wadau. Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kibaha. Kwenye Mfuko wa shati kuna TZS. 30M. Mawasiliano piga 0784636291. Ahsante.
Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu wa Sky Royal, mtaa wa Morocco Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ardhi. Nyumba na Maendeleo ya...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa...
Napangisha Nyumba
Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc
Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita..
Karibu sana!
Utangulizi
Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu wawasilipo nchini.
Nyumba hizi za wageni zimekuwa zikijengwa zaidi katika Majiji ya Dar es Salaam...
Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama.
Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi.
Stoo...
Habari wakuu,
Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre.
Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute...
Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba ya Ibada ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed?
Wadau hamjamboni nyote?
Moderator naomba Uzi huu kwingineko
Kwa mujibu wa maandiko ni Manabii au Mitume wangapi waliowahi kuitumia Ka’abaa au kwa (Bait – ul- Haram) kwa ajili ya Kufanya Ibada...
Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa familia 1,124.
Katimba ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu akijibu...
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais.
Hili jambo kwa...
Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure!
====
Kutoka mtandaoni....
T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu.
Niko na nyumba mkoani ambapo napangisha, siku za hivi karibuni niliamua kuifanyia ukarabati na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.