Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?

Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!

Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo

Chunguza uone utakubaliana na mimi

Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala

Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini

Mtu mwenye pesa huwezi ruhusu ubebwe kwa lori kwenda kampeni za chama, huo nao ni umasikini

CCM Mmebakia kwa masikini peke yake

Siku moja hawa masikini wakija kujua, hata shule tu wamewekewa za viwango vyao ambazo wasome wasomavyo, bado wataendelea kuwa masikini milele, suala la afya vilevile nalo ni kwa viwango vyao

Masikini atamudu matibabu ya Mloganzila?? 😁
 
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?

Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini

Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo

Chunguza uone utakubaliana na mimi

Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala

Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini

Mmebakia kwa masikini peke yake
Acha kutubagaza
 
IMG-20191109-WA0000.jpg
 
Waliwahi kukuomba chakula? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom