Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Sina uhakikaKulinda mali zao tu basi, si unawajua CCM, usipowaunga mkono ukiwa nazo wanakufilisi
Sina uhakikaKulinda mali zao tu basi, si unawajua CCM, usipowaunga mkono ukiwa nazo wanakufilisi
Hii ni zarau sana aiseeWao wanapanda v8 maskin kwenye roli
YaaniHii ni zarau sana aisee
Kumbe kina albinda Seth kina GSM walioichangia CCM wale ni masikini eti?nilichogundua masikini wengi mko nyuma ya kibodi.tokeni front line.mmeshaambiwa fanyeni KAZI acheni wivu.hakuna SERIKALI Dunia ni itakosa kusemwa.kasemwa na kukataliwa bwana YESU sembuse raia WA kitanzania asisemwe.kila SAA masikini,ooh masikini.nyie matajiri c muwasaidie au donge la kukosa kulamba asali?Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mtu mwenye pesa huwezi ruhusu ubebwe kwa lori kwenda kampeni za chama, huo nao ni umasikini
CCM Mmebakia kwa masikini peke yake
Mkuu wewe unaishi wapi?Kumbe kina albinda Seth kina GSM walioichangia CCM wale ni masikini eti?nilichogundua masikini wengi mko nyuma ya kibodi.tokeni front line.mmeshaambiwa fanyeni KAZI acheni wivu.hakuna SERIKALI Dunia ni itakosa kusemwa.kasemwa na kukataliwa bwana YESU sembuse raia WA kitanzania asisemwe.kila SAA masikini,ooh masikini.nyie matajiri c muwasaidie au donge la kukosa kulamba asali?
Ukweli japo inauma.Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mtu mwenye pesa huwezi ruhusu ubebwe kwa lori kwenda kampeni za chama, huo nao ni umasikini
CCM Mmebakia kwa masikini peke yake
Mwaka 1995 ccm waligawa bendera kwa watu wenye vibanda vya kuishi pale jangwani. Ili mrema akija kuhutubia ionekane kuna bendera za ccm nyingi pale jangwani. Baadae watu wale wakaja kuvigeuza vile vibanda kuwa makazi ya kudumu na ilikuwa shida kuwaondoa.Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mtu mwenye pesa huwezi ruhusu ubebwe kwa lori kwenda kampeni za chama, huo nao ni umasikini
CCM Mmebakia kwa masikini peke yake
Nyie matajiri jitoni mhanga muwakomboe.Mkuu wewe unaishi wapi?
Licha kwamba wanaogopa watafilisiwa na ccm, lakini huwezi kukuta bendera za ccm kwenye nyumba zao
Hilo ujuwe kabisa, wapo CCM kinafiki
Masikini hasa wa kifikra, ni ngumu sana kukombolekaNyie matajiri jitoni mhanga muwakomboe.
Kwamba akiingia lissu kila mtanzania atajenga apartmentKwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mtu mwenye pesa huwezi ruhusu ubebwe kwa lori kwenda kampeni za chama, huo nao ni umasikini
CCM Mmebakia kwa masikini peke yake
Wakati mwingine, Umasikini sawa tu na Itikadi fulani hiviNyie matajiri jitoni mhanga muwakomboe.
Huwa yanaongea kama hayana magego kwamba CCM ndiyo iliyowalea kuliko wazazi wao.Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi kushinda wenye uwezo
Chunguza uone utakubaliana na mimi
Bendera za ccm huko vijini, huwezi kuziona kwenye nyumba za maana isipokuwa kwenye nyumba mfano wa pagala
Bado kidogo sana CCM muanue chenu mpaka huko vijijini
Mtu mwenye pesa huwezi ruhusu ubebwe kwa lori kwenda kampeni za chama, huo nao ni umasikini
CCM Mmebakia kwa masikini peke yake
Haya ni mawazo yakoKwamba akiingia lissu kila mtanzania atajenga apartment
Hii nchi Haina upinzani WA kweli cjui kama mnaelewa.wangekuwepo bac Mwka HUU walikua wanapewa green light na wananch mapema sana.politics is a science and c mihemko.ukihemka wenye mamlaka Yao wanatumia fursa KAZI imeisha.Kumbe kina albinda Seth kina GSM walioichangia CCM wale ni masikini eti?nilichogundua masikini wengi mko nyuma ya kibodi.tokeni front line.mmeshaambiwa fanyeni KAZI acheni wivu.hakuna SERIKALI Dunia ni itakosa kusemwa.kasemwa na kukataliwa bwana YESU sembuse raia WA kitanzania asisemwe.kila SAA masikini,ooh masikini.nyie matajiri c muwasaidie au donge la kukosa kulamba asali?
Punda wakombolewe ili iweje?Watulie hivyohivyo hadi watakaposhtuka wenyewe.Nyie matajiri jitoni mhanga muwakomboe.
Ukitaka kila mwanachama awe na v8, unafikiri sawasawa?Haya ni mawazo yako
Lakini, unapimaje kwenye akili yako mkuu
Wewe unatembelea v8 halafu mimi unaniletea kofia na kunisafirisha kwa lori kuja kwa mkutano wako, ina sense?
Ni kweli si sawaUkitaka kila mwanachama awe na v8, unafikiri sawasawa?
😜😜😜Bila picha?
Nchi gani raia wote Wana magari wanayotembelea viongozi?..nyi watu akili zenu zikoje!!Ni kweli si sawa
Umbali (Tabaka) uliopo kati ya mwenye mav8 na hao unaowaongoza, unaona ni sawa?
Unapokuja kwangu wewe mwenye hayo ma v8 unaanza kuniona nami ninazo kweli au unacheka kimoyomoyo?
Elimu tu yenyewe umeigawa, ya watakaoendelea kuwa masikini milele na watakaoendelea kuwa navyo milele
Huduma za afya vilevile, mkuu, hii ni haki kweli?
Huoni kwamba wananchi wakipata tu kiakili kidogo tu watakuchinja kabisa,?