MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Huyo ni CCM LIALIA😜😜😜
Huyo ni CCM LIALIA😜😜😜
Haweelewi kwamba mungu mwenyewe ni mwenye wivu.ukimzingua anakuzingua kinomaNchi gani raia wote Wana magari wanayotembelea viongozi?..nyi watu akili zenu zikoje!!
Mimi nakukubalia hoja zako zoteNchi gani raia wote Wana magari wanayotembelea viongozi?..nyi watu akili zenu zikoje!!
Yaani ulitaka mwanao asome fezza na international school of tanganyika bure!?.. mishahara atalipa nani?!Mimi nakukubalia hoja zako zote
Mbona wewe hujibu hoja zangu?
Hakuna nchi ambayo wananchi wote watakuwa matajiri,
Lakini, wewekama kiongozi wa nchi sasa tumeamua tukupe wewe uongoze nchi
Ni sawa tu kuwa na shule ambazo zinahidumia masikini na zingine ni za wenye uwezo? Hiyo ni sawa?
We mzima kweli!?.. hospital gani chanzo chake kodi ila masikini hawawezi pata huduma hapo?..kama hawapati huduma hapo,huzipata wapi hizo huduma?Ni sawa kuwa na hosipitali ambazo chanzo chake ni kodi za wananchi, ila masikini hawawezi kupata matibabu hapo?
Unadhani ni kwa nini ccm ni wabishi sana kwenye kitu chenye ukweli?Yaani ulitaka mwanao asome fezza na international school of tanganyika bure!?.. mishahara atalipa nani?!
We mzima kweli!?.. hospital gani chanzo chake kodi ila masikini hawawezi pata huduma hapo?..kama hawapati huduma hapo,huzipata wapi hizo huduma?
LAbda Huwa wanazipata mzenaYaani ulitaka mwanao asome fezza na international school of tanganyika bure!?.. mishahara atalipa nani?!
We mzima kweli!?.. hospital gani chanzo chake kodi ila masikini hawawezi pata huduma hapo?..kama hawapati huduma hapo,huzipata wapi hizo huduma?
Bro,we ni mental case,kwa heri!Unadhani ni kwa nini ccm ni wabishi sana kwenye kitu chenye ukweli?
Huyo anayewalipa walimu ya shule za kayumba ni nani?
Ndo nini mkuuChaumma