Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Tukiachana na vitu kama mahali ilipo nyumba na uchumi wa watu, kihasibu kabisa kodi ya nyumba inakuwa calculated namna gani?
Hii ngumu kwa mishahara ya Bongo ila huwa nawashauri vijana mshahara wako wa mwezi uweze kulipa jodi yako ya miezi 6.HAkikisha kodi ya pango haizidi 15% ya kipato chako kwa mwezi kama unapokea milion moja aubbiashara zako zinakuingizia milion moja kwa mwaka bhas hakikisha kodi haizidi laki moja na nusu