Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?"
Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa.
Akasema,"Baba yangu aliamuru hii iwe nyumba ya sala, lakini mmeibadili kuwa pango la wezi"
Ndio tunajiuliza serikali imekuwa...
Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga apartment Za biashara ama Nyumba ya kuishi kiwanja kipo meter 400 kutoka barabara ya lami KINAUZWA kwa...
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia kuna ya chumba Kimoja Chenye choo nyumba inatazama BARABARA ya mtaa Ina Uwanja wa sqmt 850 Ina hati...
Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere.
Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha.
Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru mwisho wasiokua wavumilivu wanakimbia na kuacha ndoa zao, imenifanya niwaze kwanini watu wanaoana kwa...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini.
Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa...
Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana...
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.
Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Habari ndugu wana jukwaa, naomba kwa wazoefu wa Dodoma hasa maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze na Kikuyu, mnisaidie natafuta nyumba ya kuishi, walau iwe na vyumba viwili na sebule, choo, jiko, maji, umeme.
Bajeti yangu haizidi 200k
NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE
NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU...
Master 2
Living room 2
Kitchen 1
Public toilet 1
Dinning 1
Seating 1
Ukubwa eneo 400sqm(20*20)
Bei milion 29
MAWASILIANO
+255784379396
+255789782415
Email: leonapolinary@gmail.com
Kwa ufupi ni kwamba, babu yangu katika pilikapilika za kutafuta alifanikiwa kumiliki eneo ambalo lipo jirani kabisa na barabara ya lami, baada ya kustaafu katika shughuli za kiserikali basi akaamua kuhamia kijijini ambapo alifanikiwa kununua shamba na akajenga..
kule mjini akajenga pia nyumba...
kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam
Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi
Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia kimezungushiwa ukuta Pamoja na gei Kipo umbali wa meter 600 kutoka BARABARA ya lami
KINAUZWA TSH 400...
Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo...
Habari,
Dah leo nimekumbuka jambo ambalo lilishawahi nitokea miaka 7 nyuma sasa katika kuunganisha kwangu dot naona kuna kitu ambacho naweza kuwa sahihi ama la hasa kwenye swala la nyumba zetu hizi za kupanga na upatikanaji wetu wa ridhiki. Na hizi ndo historia ya nyumba nlizokaa kwa upande wa...
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
"Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
Nimeona taarifa mtandaoni ikisema watumishi wa Umma na Binafsi ambao wamechangia kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 katika NSSF au PSSSF sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya kuchukulia mkopo wa kujenga, kuboresha au kununua nyumba nchini Tanzania.
Kanuni namba 141 za Mwaka 2024...
Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.