Kanizidi mwaka mmoja na namuongoza vyema.Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Ana experience ya miaka 10 zaidi yakoNi normal tu ila kaa ujue huyo mke kskuzidi miaka 10 japo mnalingana miaka hahaa bila D2 kiwisha
Ni ngumu sanaRika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Unaichezea Jamuhuri eeh?Nmemzidi 6
Naunga mkono hoja.Jitahidi sana mke asikuzidi, umri, akili na kipato....tena mara mia akuzidi umri ila sio akili na kipato
binti kiziwi kujaa hapa 😂😂Nmemzidi 6
shindikana shida nini 😂 😂Unaichezea Jamuhuri eeh?