Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Uncle ki utaratibu iwe ngapi?Ni ngumu sana
Uncle ki utaratibu iwe ngapi?Ni ngumu sana
Hako katoto kako form two.shida nini 😂 😂
Muache shem wangu itsa wikendibinti kiziwi kujaa hapa 😂😂
Unataka kusema 5x6 inanihusu?Unaichezea Jamuhuri eeh?
Dah haina haja ya kulia Lia, we nusu kaputiMuache shem wangu itsa wikendi
Sibanduki kwa mdogo wake shemejiDah haina haja ya kulia Lia, we nusu kaputi
Kwani huyu nusu albino Half american ana ngapi 🤣 😂Hako katoto kako form two.
hawa pokei ma albino 😆 😂Sibanduki kwa mdogo wake shemeji
Hii kesi sasa
Mimi ni nusu mmarekanihawa pokei ma albino 😆 😂
43Kwani huyu nusu albino Half american ana ngapi 🤣 😂
SurelyIli ummiliki Kihisia,kiakili,kimaamuzi inafaa umzidi kuanzia 7 years kwenda mbele.
Ikiwezekana hata Elimu umzidi
😂😂😂😂😂Umiliki wa borodinda na korodani zinazofanya kazi kisawasawa automatically kunakupatia umri wa ziada kwa ulie nae hata kama kakupita miaka 30.
😂😂😂😂Insecurity,
Tafuta helaaaaaa
We fala jiheshimu
😂😂😂😂Jitahidi sana mke asikuzidi, umri, akili na kipato....tena mara mia akuzidi umri ila sio akili na kipato
Bro vuta ganja chap, maana madini konkiJitahidi sana mke asikuzidi, umri, akili na kipato....tena mara mia akuzidi umri ila sio akili na kipato
Hata kama amekuzidi umri miaka kadhaa unamuongoza. Uwe tu na busara, nguvu ya kifedha na kifua cha kuhandle mihemko.Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Umri hauna shida. Akikuzidi akili na kipato hata kama umemzidi miaka mingi hutomuweza.Jitahidi sana mke asikuzidi, umri, akili na kipato....tena mara mia akuzidi umri ila sio akili na kipato