Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Una shauri difference ya miaka mingapi?
UKitaka mwanamke muende sawa mtofautiane kuanzia miaka 3 kwenda juu isizidi 10. Kila kiwango cha tofauti kina impact yake.

Ukipishana nae miaka 3 hadi 5 anakuwa anakutazama kama mtu ambaye anaweza kukusikiliza na kukushauri before yeye hajaamua binafsi. Anakuwa anakupa ile nafasi ya kuongea kwanza au kutoa maoni kwanza.

Kuanzia 5 hadi 10 anakuwa anakutazama kama kiongozi mwalimu na sio mwenzake wa kubishana au kushaurina. Anakuwa anakupa heshima kubwa na mara nyingi kwa gepu hilo unakuwa umemzidi umri, experience za kimaisha,mipango ya kifedha, mali, uwezo wa kudeal na hisia au changamoto za kimaisha, unakuwa upo mbele yake kwa namna nyingi sana so kuwa na wewe ni zaidi ya kuwa na mume, anakuwa amepata mlezi,mlinzi, mwalimu, mtetezi, na vinginevyo.
 
Na uchumba udumu kwa muda gani?
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?

Ukiona muda (Age) inaathiri maisha yenu ya ndoa/mahusiano ujue UPENDO haupo, B'se UPENDO upo nje ya muda hivyo hauathiriwi na muda/umri
 
Jichanganye uishie kulia kudadadeki
Ukichunguza sana maana yake haujalenga mwanamke unaetaka kufanya nae maisha na kumchunguza mtu hakubadilishi uhalisia wa kile ambacho umekihisia.

Hivi kwa mfano, unakwenda kununua gari, kuna zile dalili za mwanzo utaanza kuziona na kuhisi ambazo zitakujuza kuwa gari ina vipengele ama la kupitia kauli za dalali. So ukinunua likaanza kufeli utaona hata kichwa chako kinakwambia kuwa ulipuuza moja mbili tatu, ungezingatia moja mbili tatu haya yasingetokea.

Unakwenda kutongoza demu miaka 28 mhitimu wa IFM au TIA,sio bikra, anatoka familia ya single mother, hapa hizi tayari ni alama zinakupa taswira ya mtu unae kwenda kuishi nae. Hata uishi nae uchumba miaka 10 utakuwa unataka kugundua nini ili ubadilishe uhalisia?

But umekutana na binti fresh from highschool amemaliza form six, umri 21 anajitunza na ni bikra, wazazi wake ni familia bora, huyu ukijizungusha sana isizidi mwaka maana utakachokuwa unataka ni kupoteza muda na kuanza kumpa sababu za kurubuniwa na wahuni. Labda kama hayupo tayari kuolewa kwasababu zake kama Jadda ila kama yeye ameridhia kuolewa then wewe unachosubiria kitokee ni kipi?
 
2-3 years is good, hiyo miezi 6 una taka ulie kwa kirumi
 
Jichanganye uishie kulia kudadadeki
Ndugu me nipo kwenye kamati ya kujenga vijana eneo la mahusiano na nimeshawapa ushauri vijana wadogo na mabinti jinsi ya kuumba mahusiano na wamefanya vema.
. Dunia ya mahusiano serious ni tofauti sana na dunia ya mahusiano ya kusindikizana.

Mtu mwenye nia ya kuoa opportunity ya kuoa ikitokea huwa hapotezi muda. Kuna kijana tulienda kuposa hapo mbezi, pale kwenye kuposa kuna vibinti vilikuwa vimevalishwa sare kama wapambe wa binti aliyekuwa anachumbiwa.

Bwana mdogo pale pale akatupa jicho akamuona binti na alikuwa ndio kwanza ameanza chuo mzumbe. Dogo hakupoteza muda akatupa ndoano. Nilikuja kujua baadae sana kuwa walishafunga ndoa na wana mtoto m'moja tayari haijapita miaka hata 3 tokea lile tukio la kuchumbia tulipokutana mara ya mwisho.

Yule binti nikamtazama amekuwa tofauti. Mwili wake umekuwa wa kidada anaonekana mzuri na mwanamke matured. Wakati kipindi kile alikuwa anaonekana ana umbile dogo la kademu tu ka form 6 au chuo first year.

Ukiona nafasi ya kujitetea na mahusiano itumie usisubiri malaika wakutokee wakwambie muda ni sasa. Wengi mna kazi hata ya mshahara wa laki 6 tu, hiyo hiyo unaweza kuanzia na ukaoa na kufanya maisha bila shida.

Cha muhimu target kiumbe ambaye utaweza kumuongoza basi. Hawa hawa wanaokwenda chuo target humo,kuna ambao wana afadhali na hawana majanga. Unachukua unapiga siasa unaweka kabali. Unatangaza posa. Unaweka mbaroni, mimba zianze maisha yaendelee.

Ukianza kujistukia siku zote utakuwa unadate hizi takataka ambazo zimeshajiprogram kuwa zitaishia kuwa single mothers huko ni kupoteza muda.
 
Ukichunguza sana maana yake haujalenga mwanamke unaetaka kufanya nae maisha na kumchunguza mtu hakubadilishi uhalisia wa kile ambacho umekihisia.

Hivi kwa mfano, unakwenda kununua gari, kuna zile dalili za mwanzo utaanza kuziona na kuhisi ambazo zitakujuza kuwa gari ina vipengele ama la kupitia kauli za dalali. So ukinunua likaanza kufeli utaona hata kichwa chako kinakwambia kuwa ulipuuza moja mbili tatu, ungezingatia moja mbili tatu haya yasingetokea.

Unakwenda kutongoza demu miaka 28 mhitimu wa IFM au TIA,sio bikra, anatoka familia ya single mother, hapa hizi tayari ni alama zinakupa taswira ya mtu unae kwenda kuishi nae. Hata uishi nae uchumba miaka 10 utakuwa unataka kugundua nini ili ubadilishe uhalisia?

But umekutana na binti fresh from highschool amemaliza form six, umri 21 anajitunza na ni bikra, wazazi wake ni familia bora, huyu ukijizungusha sana isizidi mwaka maana utakachokuwa unataka ni kupoteza muda na kuanza kumpa sababu za kurubuniwa na wahuni. Labda kama hayupo tayari kuolewa kwasababu zake kama Jadda ila kama yeye ameridhia kuolewa then wewe unachosubiria kitokee ni kipi?
Tatizo lako unajifanya huamini kwamba kuna wanaume wanaweza kuwaacha wanawake wenye sifa zote za kuolewa na walio tayari kuolewa, yani ni kama unahisi wanaume wote wako innocent hawawezi kuwatendea wanawake ubaya bali ni wanawake tu wenyewe ndio huwa wasumbufu na kupelekea wanaume kuwatendea ubaya, ndio maana nakuambia wewe huongei uhalisia ni kama unaishi kwenye dunia yako hebu kaa vizuri na wanaume wenzio wakuambie kuwa hata wao kuna muda wana mess up kwenye mahusiano na baadaye wanakuja kujutia maana haya sisi tunayaona na tunayasikia kila siku
 
Duh! Jamaa una matatizo ,ukiwa wewe ndiye tegemezi ni rahisi sana ...Ni rahisi sana kama wewe ndiye kila kitu hapo Nyumbani ,ila kama nyote mnatoka kwenda kazini ,habari yako kwisha.
Sanaa! Tena akuzidi na mshahara ndo kwishaa ata uwe umemzidi miaka 20 kazi bure tu atakuona zee la hovyo..
Ila kama unalipa bills zako freshi unahudumia familia wala sio kesi ata akikuzidi miaka 10 bado utakuwa na mamlaka
 
2-3 years is good, hiyo miezi 6 una taka ulie kwa kirumi
Miaka 2 hadi 3 kama ni mwanamke ulimkuta ana 22 ina maana utakaa nae hadi 25 ndipo ufanye maamuzi,hii miaka 3 utakuwa unafanya nini au unachunguza nini mzee?

NItakupa mfano, kuna siku nikiwa mitaa ya Mindu, Upanga nimekaa kwenye ghorofa linaitwa Richmond tower namsubiria rafiki yangu ashuke twende sehemu nikaona nipige story na mlinzi. Yule mlinzi alitokea tu kunikubali sana sababu ya mambo tuliyokuwa tunaongea na namna nilivyomchangamsha.

Baada ya kuongea kama dakika 20 hivi akanambia kuna Bluetooth speaker anaiuza nimpe chochote kitu. Nikamwambia niione. Akanipa. Ilikuwa ni spika ya kampuni inaitwa Boze (wanaozijua hizi speaker zina maajabu nadhani kama si sawa na JBL basi zinaipita JBL) kwa wakati ule sikuwa nazijua kabisa. Nikajua ni brand za kichina.

Nikamwambia anauzaje, akanambia nimpe elfu sabini. Mimi nikamwambia hiyo sina labda elfu 40, akanambia labda 60, nikamwambia tufanye 50, akanambia poa tufanye biashara.

Kwa muda ule sikuwa tayari kuilipia ile spika na ilikuwa ni mpya kabisa alipewa zawadi na mtu alikuwa anaishi hapo hapo kwenye apartments za Richmond kipindi anaondoka kurudi kwao.
Alikuwa ananitafuta nikapiga chenga nikijua nitakwenda muda wowote kuichukua hiyo speaker hata hivyo speaker za mchina zipo nyingi naweza pata huko madukani au kuagizia why niwe na pressure ya kununua used tena kwa 50,000.

Siku zikaenda nikapita tena, safari hii hakunikumbusha tukasalimiana ila akaniambi, " speaker yako nimeuza kwa dogo wa kihindi m'moja hapo alinikuta naitumia akaipenda,akaniambia nimuachie. Aliponiuliza bei nikamwambia ajilipue akaropoka laki moja,hata sikutaka kubishana nikamwambia poa. Akaenda kwao akachukua hela akaniletea nikampa speaker."

Mimi akili ikastuka,nikasema ngoja nichunguze why muhindi alipie laki bila utata kwa kitu ambacho mimi nimeleta pozi kukinunua kwa elfu 50?

Niliporudi home jioni,nikaingia mtandaoni uzuri nilipiga picha ile speaker na lebo yake niliipiga picha so serial numbers nilikuwa nazo. Nilipozisearch ikanipeleka straight kwenye website ya Boze ndipo nikajua kuwa nimepuyanga. Ile speaker thamani yake ni zaidi ya laki 7. Ukiweka kwa pesa ya kibongo kutoka dola.

Aisee nilijilaumu sana. Nikajifunza somo muhimu sana kuhusu kuwa na maamuzi yakinifu ila ndani ya muda mfupi mara tu ninapokutana na fursa ya jambo lolote.

Nimekupa story hii ya kisa changu ili upate kujifunza kuhusu maamuzi muhimu ambayo hayataki chenga nyingi. Hiyo kitu hata katika mahusiano ina apply pia. Unapokutana na mwanamke katika maisha yako na amekaa mkao wa kufanya nae mahusiano serious usisubiri miaka 3 ya kuprove wrong.

Miaka mitatu utakuwa unataka mtu awe ni malaika kuishi nae. Ila vigezo muhimu ndani ya miezi sita hadi mwaka ukiweka mikakati ya kijeshi unakuwa na zaidi ya nafasi 1000 za kubaini mtu wa hovyo na wamaana.

Mwanamke ukae nae miaka 3 haujamchumbia ni mnapika, mnapakua na kutandika kitanda day in day out lazima atasoma ishara kuwa humpendi na hauna mipango nae ya baadae na yeye ataanza kuishi na wewe kimashaka huku akiandaa exit strategy kitafuta mahusiano serious nje ya situationship yenu.

Miezi 6 hadi mwaka unakuwa ushajua kuwa huyu ni mke ama sio. Na kama umejua ni mke, haitakugharimu zaidi ya milion 1 na nusu kila kitu katika kumchumbia especially kama wazazi mpo nao mkoa huo huo na utafanya vitu vyako bila mbwembwe za bongo movie.

Mambo yasiwe mengi, weka ndani chunguza miezi yako sita, mwaka amenyooka,mwambie mpenzi nataka nikupandishe cheo,peleka washenga kwao, toa posa,lipa mahari, chukua mali kiuhalali huku mnapanga sherehe ya ndoa. Unakuwa mume na mke halali.

Haya mambo ya kuchunguzana miaka 3 au 5 huyo mwanamke hazeeki? Wewe umri hauendi?😂😂
 
Ukubwa wa mtu siyo umri, ukubwa wa mtu ni matendo.
Sababu za mwanaume kuwa kiongozi hazihusiani kabisa na umri.

Unaweza kumzidi mwanamke umri na akakuongoza au akakusumbua tu vilevile.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom