Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Miaka 2 hadi 3 kama ni mwanamke ulimkuta ana 22 ina maana utakaa nae hadi 25 ndipo ufanye maamuzi,hii miaka 3 utakuwa unafanya nini au unachunguza nini mzee?

NItakupa mfano, kuna siku nikiwa mitaa ya Mindu, Upanga nimekaa kwenye ghorofa linaitwa Richmond tower namsubiria rafiki yangu ashuke twende sehemu nikaona nipige story na mlinzi. Yule mlinzi alitokea tu kunikubali sana sababu ya mambo tuliyokuwa tunaongea na namna nilivyomchangamsha.

Baada ya kuongea kama dakika 20 hivi akanambia kuna Bluetooth speaker anaiuza nimpe chochote kitu. Nikamwambia niione. Akanipa. Ilikuwa ni spika ya kampuni inaitwa Booze kwa wakati ule sikuwa nazijua kabisa. Nikajua ni brand za kichina.

Nikamwambia anauzaje, akanambia nimpe elfu sabini. Mimi nikamwambia hiyo sina labda elfu 40, akanambia labda 60, nikamwambia tufanye 50, akanambia poa tufanye biashara.

Kwa muda ule sikuwa tayari kuilipia ile spika na ilikuwa ni mpya kabisa alipewa zawadi na mtu alikuwa anaishi hapo hapo kwenye apartments za Richmond kipindi anaondoka kurudi kwao.
Alikuwa ananitafuta nikapiga chenga nikijua nitakwenda muda wowote kuichukua hiyo speaker hata hivyo speaker za mchina zipo nyingi naweza pata huko madukani au kuagizia why niwe na pressure ya kununua used tena kwa 50,000.

Siku zikaenda nikapita tena, safari hii hakunikumbusha tukasalimiana ila akaniambi, " speaker yako nimeuza kwa dogo wa kihindi m'moja hapo alinikuta naitumia akaipenda,akaniambia nimuachie. Aliponiuliza bei nikamwambia ajilipue akaropoka laki moja,hata sikutaka kubishana nikamwambia poa. Akaenda kwao akachukua hela akaniletea nikampa speaker."

Mimi akili ikastuka,nikasema ngoja nichunguze why muhindi alipie laki bila utata kwa kitu ambacho mimi nimeleta pozi kukinunua kwa elfu 50?

Niliporudi home jioni,nikaingia mtandaoni uzuri nilipiga picha ile speaker na lebo yake niliipiga picha so serial numbers nilikuwa nazo. Nilipozisearch ikanipeleka straight kwenye website ya Boze ndipo nikajua kuwa nimepuyanga. Ile speaker thamani yake ni zaidi ya laki 7. Ukiweka kwa pesa ya kibongo kutoka dola.

Aisee nilijilaumu sana. Nikajifunza somo muhimu sana kuhusu kuwa na maamuzi yakinifu ila ndani ya muda mfupi mara tu ninapokutana na fursa ya jambo lolote.

Nimekupa story hii ya kisa changu ili upate kujifunza kuhusu maamuzi muhimu ambayo hayataki chenga nyingi. Hiyo kitu hata katika mahusiano ina apply pia. Unapokutana na mwanamke katika maisha yako na amekaa mkao wa kufanya nae mahusiano serious usisubiri miaka 3 ya kuprove wrong.

Miaka mitatu utakuwa unataka mtu awe ni malaika kuishi nae. Ila vigezo muhimu ndani ya miezi sita hadi mwaka ukiweka mikakati ya kijeshi unakuwa na zaidi ya nafasi 1000 za kubaini mtu wa hovyo na wamaana.

Mwanamke ukae nae miaka 3 haujamchumbia ni mnapika, mnapakua na kutandika kitanda day in day out lazima atasoma ishara kuwa humpendi na hauna mipango nae ya baadae na yeye ataanza kuishi na wewe kimashaka huku akiandaa exit strategy kitafuta mahusiano serious nje ya situationship yenu.

Miezi 6 hadi mwaka unakuwa ushajua kuwa huyu ni mke ama sio. Na kama umejua ni mke, haitakugharimu zaidi ya milion 1 na nusu kila kitu katika kumchumbia especially kama wazazi mpo nao mkoa huo huo na utafanya vitu vyako bila mbwembwe za bongo movie.

Mambo yasiwe mengi, weka ndani chunguza miezi yako sita, mwaka amenyooka,mwambie mpenzi nataka nikupandishe cheo,peleka washenga kwao, toa posa,lipa mahari, chukua mali kiuhalali huku mnapanga sherehe ya ndoa. Unakuwa mume na mke halali.

Haya mambo ya kuchunguzana miaka 3 au 5 huyo mwanamke hazeeki? Wewe umri hauendi?😂😂
Story nzuri mkuu.
Tena kwa mfano kipindi cha nyuma wazee wetu walikuwa wanafanya Intelligent Guess tu.

Anafanya tafiti wapi kuna wanawake wazuri kuanza nao maisha anaenda zake, kule wazee wanampokea then wanamconnect na dada mtu na kama amejipanga vizuri mwezi mmoja tu anaweka mali ndani.

Siku hizi vijana wameongeza vigezo kwenye katiba mkuu
, tukiachana na kigezo kikuu cha tabia sasa hivi kuna kigezo cha kiuno nyonga, Hips matata, umbo namba nane, mweupe au Blackbeauty, urefu wa wastani, umbo, nyash, sauti nyororo, mn'gao na vingine vingi (Ukisikiliza miziki ya kizazi kipya utanielewa).

Ni vituko mkuu.
Ndiyo maana vijana hawaoi 😅|
 
Miaka 2 hadi 3 kama ni mwanamke ulimkuta ana 22 ina maana utakaa nae hadi 25 ndipo ufanye maamuzi,hii miaka 3 utakuwa unafanya nini au unachunguza nini mzee?

NItakupa mfano, kuna siku nikiwa mitaa ya Mindu, Upanga nimekaa kwenye ghorofa linaitwa Richmond tower namsubiria rafiki yangu ashuke twende sehemu nikaona nipige story na mlinzi. Yule mlinzi alitokea tu kunikubali sana sababu ya mambo tuliyokuwa tunaongea na namna nilivyomchangamsha.

Baada ya kuongea kama dakika 20 hivi akanambia kuna Bluetooth speaker anaiuza nimpe chochote kitu. Nikamwambia niione. Akanipa. Ilikuwa ni spika ya kampuni inaitwa Booze kwa wakati ule sikuwa nazijua kabisa. Nikajua ni brand za kichina.

Nikamwambia anauzaje, akanambia nimpe elfu sabini. Mimi nikamwambia hiyo sina labda elfu 40, akanambia labda 60, nikamwambia tufanye 50, akanambia poa tufanye biashara.

Kwa muda ule sikuwa tayari kuilipia ile spika na ilikuwa ni mpya kabisa alipewa zawadi na mtu alikuwa anaishi hapo hapo kwenye apartments za Richmond kipindi anaondoka kurudi kwao.
Alikuwa ananitafuta nikapiga chenga nikijua nitakwenda muda wowote kuichukua hiyo speaker hata hivyo speaker za mchina zipo nyingi naweza pata huko madukani au kuagizia why niwe na pressure ya kununua used tena kwa 50,000.

Siku zikaenda nikapita tena, safari hii hakunikumbusha tukasalimiana ila akaniambi, " speaker yako nimeuza kwa dogo wa kihindi m'moja hapo alinikuta naitumia akaipenda,akaniambia nimuachie. Aliponiuliza bei nikamwambia ajilipue akaropoka laki moja,hata sikutaka kubishana nikamwambia poa. Akaenda kwao akachukua hela akaniletea nikampa speaker."

Mimi akili ikastuka,nikasema ngoja nichunguze why muhindi alipie laki bila utata kwa kitu ambacho mimi nimeleta pozi kukinunua kwa elfu 50?

Niliporudi home jioni,nikaingia mtandaoni uzuri nilipiga picha ile speaker na lebo yake niliipiga picha so serial numbers nilikuwa nazo. Nilipozisearch ikanipeleka straight kwenye website ya Boze ndipo nikajua kuwa nimepuyanga. Ile speaker thamani yake ni zaidi ya laki 7. Ukiweka kwa pesa ya kibongo kutoka dola.

Aisee nilijilaumu sana. Nikajifunza somo muhimu sana kuhusu kuwa na maamuzi yakinifu ila ndani ya muda mfupi mara tu ninapokutana na fursa ya jambo lolote.

Nimekupa story hii ya kisa changu ili upate kujifunza kuhusu maamuzi muhimu ambayo hayataki chenga nyingi. Hiyo kitu hata katika mahusiano ina apply pia. Unapokutana na mwanamke katika maisha yako na amekaa mkao wa kufanya nae mahusiano serious usisubiri miaka 3 ya kuprove wrong.

Miaka mitatu utakuwa unataka mtu awe ni malaika kuishi nae. Ila vigezo muhimu ndani ya miezi sita hadi mwaka ukiweka mikakati ya kijeshi unakuwa na zaidi ya nafasi 1000 za kubaini mtu wa hovyo na wamaana.

Mwanamke ukae nae miaka 3 haujamchumbia ni mnapika, mnapakua na kutandika kitanda day in day out lazima atasoma ishara kuwa humpendi na hauna mipango nae ya baadae na yeye ataanza kuishi na wewe kimashaka huku akiandaa exit strategy kitafuta mahusiano serious nje ya situationship yenu.

Miezi 6 hadi mwaka unakuwa ushajua kuwa huyu ni mke ama sio. Na kama umejua ni mke, haitakugharimu zaidi ya milion 1 na nusu kila kitu katika kumchumbia especially kama wazazi mpo nao mkoa huo huo na utafanya vitu vyako bila mbwembwe za bongo movie.

Mambo yasiwe mengi, weka ndani chunguza miezi yako sita, mwaka amenyooka,mwambie mpenzi nataka nikupandishe cheo,peleka washenga kwao, toa posa,lipa mahari, chukua mali kiuhalali huku mnapanga sherehe ya ndoa. Unakuwa mume na mke halali.

Haya mambo ya kuchunguzana miaka 3 au 5 huyo mwanamke hazeeki? Wewe umri hauendi?😂😂
Ila jamaa uko vizuri kwa kutunga story, akiwa 19 je?
 
Tatizo lako unajifanya huamini kwamba kuna wanaume wanaweza kuwaacha wanawake wenye sifa zote za kuolewa na walio tayari kuolewa, yani ni kama unahisi wanaume wote wako innocent hawawezi kuwatendea wanawake ubaya bali ni wanawake tu wenyewe ndio huwa wasumbufu na kupelekea wanaume kuwatendea ubaya, ndio maana nakuambia wewe huongei uhalisia ni kama unaishi kwenye dunia yako hebu kaa vizuri na wanaume wenzio wakuambie kuwa hata wao kuna muda wana mess up kwenye mahusiano na baadaye wanakuja kujutia maana haya sisi tunayaona na tunayasikia kila siku
Hiyo ilikuwa zamani. Siku hizi wanaume wanathamini sana mahusiano ya ndoa si unaona ndio wanaokemea masingle mother,wanakemea mafeminist,wanakemea mabinti kudanga.

Wanaume hawaachi wanawake wazuri na wife material bwana. Ni wewe tu hapo unatunga.
 
Ila jamaa uko vizuri kwa kutunga story, akiwa 19 je?
Hapana sijatunga ni kisa cha kweli ninachokwambia. Nakutumia na picha ya hizo speaker uzijue. Ni speaker za toleo hili hapa.
images (10)_3601890376533.jpeg
images (9)_3601826111949.jpeg
 
Ila jamaa uko vizuri kwa kutunga story, akiwa 19 je?
Sasa wewe unatazama target zako huyo wa 19 still age sawa kimahusiano ingawa unatakiwa kuwa nae makini sana na kwa jamii yetu hii isiyojitambua kimalengo ukiwa wewe ni mkubwa mtaonekana kama mnachezeana. Ila binti wa miaka 19 ni perfect age ya kuandaa mke. Ukikaa nae hadi miaka 22 huyu unaoa na ukiwa vizuri kichwani atakuwa perfect wife kwako.

Unajua niseme jambo hapa. Jamii huwa inajiaminisha kuwa mwanamke wa miaka 19 ni mtoto.

Hivi mnawaona huku mitaani watu wanaolala nao na idadi ya wanaume wanaobadili? 😂😂😂 16 tayari anaruka na mtu age ya baba yako. Halafu wewe useme 19 ni mtoto?😂😂😂 Huwa naona hii jamii ya watanzania hatupogi serious.

Sasa naanza kuwaelewa wazaramo,wandengereko,wamakua,wamakonde,walugulu kucheza mabinti zao kabla hawajafika 18. Maana wanajua balaa lake.
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Ogopa sana. Make sure 5 years
 
Sasa wewe unatazama target zako huyo wa 19 still age sawa kimahusiano ingawa unatakiwa kuwa nae makini sana na kwa jamii yetu hii isiyojitambua kimalengo ukiwa wewe ni mkubwa mtaonekana kama mnachezeana. Ila binti wa miaka 19 ni perfect age ya kuandaa mke. Ukikaa nae hadi miaka 22 huyu unaoa na ukiwa vizuri kichwani atakuwa perfect wife kwako.

Unajua niseme jambo hapa. Jamii huwa inajiaminisha kuwa mwanamke wa miaka 19 ni mtoto.

Hivi mnawaona huku mitaani watu wanaolala nao na idadi ya wanaume wanaobadili? 😂😂😂 16 tayari anaruka na mtu age ya baba yako. Halafu wewe useme 19 ni mtoto?😂😂😂 Huwa naona hii jamii ya watanzania hatupogi serious.

Sasa naanza kuwaelewa wazaramo,wandengereko,wamakua,wamakonde,walugulu kucheza mabinti zao kabla hawajafika 18. Maana wanajua balaa lake.
hahaha ume nikumbusha bro angu mmoja, ana sema miaka 18 kina body count ya 6-8 😂😂.

difference yao ni 6 yrs, na hako ka mchuchu.
 
Tatizo lako unajifanya huamini kwamba kuna wanaume wanaweza kuwaacha wanawake wenye sifa zote za kuolewa na walio tayari kuolewa, yani ni kama unahisi wanaume wote wako innocent hawawezi kuwatendea wanawake ubaya bali ni wanawake tu wenyewe ndio huwa wasumbufu na kupelekea wanaume kuwatendea ubaya, ndio maana nakuambia wewe huongei uhalisia ni kama unaishi kwenye dunia yako hebu kaa vizuri na wanaume wenzio wakuambie kuwa hata wao kuna muda wana mess up kwenye mahusiano na baadaye wanakuja kujutia maana haya sisi tunayaona na tunayasikia kila siku
Ila Jadda nikwambie tu wanawake kama wewe wabishi wabishi mnakuwaga wife material sana. Na ukiingia ndani ya ndoa huwa mnaufyata na mnafanya kila mlichosema hamtafanya.

Utamu upo kitandani. Mnakuwaga watamu kama kambale aliyeungwa na mchuzi wenye pilipili manga na tui la nazi. Jicho la mwanamke mbishi akiwa anasikilizia utamu wa kupigwa ukuni ni habari nyingine kabisa. Anakuwa anaangalia kama anakula embe bichi.

Yaani ungekuwa unamjua isabela kijicho ungeelewa ninachomaanisha.
 
Nime cheka sana, hebu muache Jadda wangu, 😊
 
hahaha ume nikumbusha bro angu mmoja, ana sema miaka 18 kina body count ya 6-8 😂😂.

difference yao ni 6 yrs, na hako ka mchuchu.
Na hawa watoto watu wanawafuata kwasababu kwanza ni wabichi, watamu, hawana mawenge, hawasumbui gharama za mahusiano, havina masharti ya kipuuzi vyenyewe ni kupelekeana moto ndio vinataka havitako story zingine.

Ingawa mimi nashauri kama unaviendea hivi vitoto basi uwe katika umri ambao in the next 3 to 4 years unaweza kuwa nako rasmi kimahusiano sio kuharibu watoto halafu unapotezea sio poa.

Huwa nakutana na vibinti vya miaka 16 had 22 unaona kabisa haka kamekaa kibra ila sasa nafsi tayari haipo huko nawatazama kama watoto na kwa umri wangu kuruka na binti wa umri huo haijakaa poa. Sometimes unavitreat vizuri tu unakanunulia msosi,unakapa vocha then basi kanabakia kukuona kama baba yake tu.

Vingi ni vitoto vya masingle mother aisee. Huwa naumia sana. Huwa nawaza kuna mtu ameacha binti yake mzuri hivi na mama yake anatanga tanga kujitafutia maisha.
 
Wanawake ni viumbe ambao ili aweze kutulia na kunyooka katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vyote.

Mzidi elimu,mzidi umri,mzidi kipato,mzidi hekima,mzidi usafi, mzidi ukimya,mzidi urefu, mzidi rangi nzuri ya ngozi, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Mzidi kila eneo utaweza kumudu mahusiano nae.

Kosea uoe demu elimu unalingana nae au amekuzidi, akuzidi kipato, akuzidi umri au muwe sawa, yaani akikuzidi vitu kadhaa,ata anza kukutazama kwa jicho la kukulinganisha na wanaume wengine nje na kuanza kutafuta visa vya kukuonyesha wazi kuwa wewe ni dhaifu na kuna bora zaidi yako.

Hapa ukiwauliza watakwambia ni " insecurities" tu au kutojiamini kwa wanaume ila trust me, katika viumbe vinavyobadilika haraka tabia na mwenendo ukimtoa kinyonga basi wanawake wanashika ubingwa.

Mimi kabla sijamuamini mwanamke nitaanza kumuamini mtoto wa miaka miwili kuvuka barabara kubwa ya three lanes pekee yake huku nikiwa simtazami kabisa na kuamini atavuka salama salimini.

Ukiwa na ujasiri wa kumuamini mwanamke kwa kauli zake au kwa viapo vyake then wewe hautakiwi hata kupewa leseni ya kuendesha bajaji sababu hauna uwezo wa kufanya maamuzi sahihi katika maisha.
Wachache watakuelewa
 
Na hawa watoto watu wanawafuata kwasababu kwanza ni wabichi, watamu, hawana mawenge, hawasumbui gharama za mahusiano, havina masharti ya kipuuzi vyenyewe ni kupelekeana moto ndio vinataka havitako story zingine.

Ingawa mimi nashauri kama unaviendea hivi vitoto basi uwe katika umri ambao in the next 3 to 4 years unaweza kuwa nako rasmi kimahusiano sio kuharibu watoto halafu unapotezea sio poa.

Huwa nakutana na vibinti vya miaka 16 had 22 unaona kabisa haka kamekaa kibra ila sasa nafsi tayari haipo huko nawatazama kama watoto na kwa umri wangu kuruka na binti wa umri huo haijakaa poa. Sometimes unavitreat vizuri tu unakanunulia msosi,unakapa vocha then basi kanabakia kukuona kama baba yake tu.

Vingi ni vitoto vya masingle mother aisee. Huwa naumia sana. Huwa nawaza kuna mtu ameacha binti yake mzuri hivi na mama yake anatanga tanga kujitafutia maisha.
yap uko sahihi kabisa, naona wana malengo ya kuwa pamoja in the next 2-3 years.

she's 19, jamaa 24 so I watch them on my radar, kwao binti ni watu wa dini pia.
sio kazururaji, kana swali, wise, na kapole.
 
Back
Top Bottom