Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Umri ni indicator ya mambo mengi sana. Kwanza busara, umri unavyoenda unakutana na misukosuko mingi kwaiyo unajifunza kufanya maamuzi bila kukulupuka hata katika situation zenye tension kubwa. Pili, uchumi. Mtu ambae umemzidi umri mkubwa kuna uwezekano mkubwa ukamzidi kiuchumi pia maana wewe ulianza maisha ya kujitegemea kabla yake
Maisha hayapo kama hesabu kwamba moja ongeza moja lazima iwe mbili. Kuna mengi yanatokea ktk maisha ambayo hatujawahi kuyategemea
 
Maisha hayapo kama hesabu kwamba moja ongeza moja lazima iwe mbili. Kuna mengi yanatokea ktk maisha ambayo hatujawahi kuyategemea
Umri ni moja ya factors ambayo inachangia kuleta order kati ya mtawala na mtae0aliwa. Hata wanawake wenyewe hawapo comfortable kuongozwa na mume ambae wamelingana umri. Huo ndio ukweli, sio siasa, ubishi wala insecurity ni saikolojia, ni devine order. Vingenevyo labda kama umeamua tu kutaka kubishana
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Siku zote namlaumu sana...aliyeleta bange
 
Mwanamke ambae unalingana nae umri kakuzidi kila kitu kwenye nyanja ya mahudiano. Kuanzia ujanja, uzoefu, body count n.k hii ni kwa sababu mwanamke anaingia kwenye dating pool mapema sana ukilinganisha na mwanaume. Ukizingatia kwamba kiongozi ni vyema ukawa wise zaidi ya unaemuongoza basi ni vizuri ukampita mkeo angalao miaka 8 hivi
Wewe wako ume mpita mingapi?
 
Basi sawa hata wanawake ilikuwa zamani siku hizi wanathamini sana mahusiano, ndio maana wanalilia ndoa kwahiyo hata wanawake hawakatai wanaume wazuri, ila wewe tu ndio unatutungia hekaya zako humu
Wanawake wanalilia ndoa that's very true shida ni maandalizi yakuwa candidate mzuri kwenye ndoa. Hakuna mafunzo ya siku moja,wiki,mwezi, miezi sita au mwaka yatatosha kumtengeneza mwanamke aliyekuzwa na mifumo ya kimagharibi kuwa mke compatible na culture ya kiafrika hata iweje. Ni aidha akubali kuishi kwa mateso kupitia adaptive and transformative /restructuring system ambayo kwasasa hatunayo.

Mwanamke anaandaliwa from the day anazaliwa hadi anatimiza miaka 15 then from 16 to 26 anapewa training maalumu za kike ili awe compatible na culture ya kiafrika.

Hii haimaanishi kuwa wanaume hawaandaliwi pia. Wanaume nao wanaandaliwa na wana program yao ya tofauti kabisa kuwatengeneza ili kuweza kuwa accommodate wanawake wenye kufuata structure ya kiafrika.

Ndio mimi ni wife material kwa wanaume wanaojielewa siyo mbwa mbwa
Jadda umeanza mikwara. Hapo sasa ulitaka kusema nini hebu sema tu ya moyoni.
Sasa unalia nini, andika vizuri bila kulia bhana, hivi vilio vyako nishavichoka mimi
Lakini ni ukweli.
 
Means ana 20 wewe 30, sio mbaya lakini.
Mafeminist huwa hawapendi kuona hii combo kwasababu wanajua hapa binti kama anachukua mwanaume mwenye maisha mazuri katika umri huu wao watabakia na nani na age imeenda?

Ndio maana wanakuwaga wakali sana na kusema umri huo mwanamke bado mtoto? Mtoto ana miaka 20? Matako yenu feminists.
 
Wanawake wanalilia ndoa that's very true shida ni maandalizi yakuwa candidate mzuri kwenye ndoa. Hakuna mafunzo ya siku moja,wiki,mwezi, miezi sita au mwaka yatatosha kumtengeneza mwanamke aliyekuzwa na mifumo ya kimagharibi kuwa mke compatible na culture ya kiafrika hata iweje. Ni aidha akubali kuishi kwa mateso kupitia adaptive and transformative /restructuring system ambayo kwasasa hatunayo.

Mwanamke anaandaliwa from the day anazaliwa hadi anatimiza miaka 15 then from 16 to 26 anapewa training maalumu za kike ili awe compatible na culture ya kiafrika.

Hii haimaanishi kuwa wanaume hawaandaliwi pia. Wanaume nao wanaandaliwa na wana program yao ya tofauti kabisa kuwatengeneza ili kuweza kuwa accommodate wanawake wenye kufuata structure ya kiafrika.


Jadda umeanza mikwara. Hapo sasa ulitaka kusema nini hebu sema tu ya moyoni.

Lakini ni ukweli.
Duuh kwamba inahitajika miaka mingi tena kumuandaa mtoto wa kike kukaa kwenye nafasi yake ambayo unadai ni nature, ndio maana nakuambia wewe hujui maana ya nature unalazimisha kwamba social constructs ndio nature, na nashukuru umekiri kuwa vile wanaume mnataka wanawake wawe ni mifumo ya kiafrika tu na baadhi ya jamii nyingine duniani ila si mifumo ya asili ya kiulimwengu basi ni vizuri
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Mwanaume ni mwanaume tu kuna jamaa kazidiwa umri na mke wake lakini uwezi kuamini kama ni dogo kwa mke yaani kwenye majukumu na kusimamia familia ni kidume haswa 😂
 
Back
Top Bottom