Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Wanawake ni viumbe ambao ili aweze kutulia na kunyooka katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vyote.

Mzidi elimu,mzidi umri,mzidi kipato,mzidi hekima,mzidi usafi, mzidi ukimya,mzidi urefu, mzidi rangi nzuri ya ngozi, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Mzidi kila eneo utaweza kumudu mahusiano nae.

Kosea uoe demu elimu unalingana nae au amekuzidi, akuzidi kipato, akuzidi umri au muwe sawa, yaani akikuzidi vitu kadhaa,ata anza kukutazama kwa jicho la kukulinganisha na wanaume wengine nje na kuanza kutafuta visa vya kukuonyesha wazi kuwa wewe ni dhaifu na kuna bora zaidi yako.

Hapa ukiwauliza watakwambia ni " insecurities" tu au kutojiamini kwa wanaume ila trust me, katika viumbe vinavyobadilika haraka tabia na mwenendo ukimtoa kinyonga basi wanawake wanashika ubingwa.

Mimi kabla sijamuamini mwanamke nitaanza kumuamini mtoto wa miaka miwili kuvuka barabara kubwa ya three lanes pekee yake huku nikiwa simtazami kabisa na kuamini atavuka salama salimini.

Ukiwa na ujasiri wa kumuamini mwanamke kwa kauli zake au kwa viapo vyake then wewe hautakiwi hata kupewa leseni ya kuendesha bajaji sababu hauna uwezo wa kufanya maamuzi sahihi katika maisha.
 
Una shauri difference ya miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom