habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu.
Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato.
Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
Habari za Jumapili,
Maisha sio Pouwa! Nakubaliana na wale wanaosema Maisha ni majaliwa. Na jitihada hazizidi kudura.
Wapo waliosoma kwa bidii mila hiyo na waliona taa ya matumaini kulingana na matokeo ya darasani waliyokuwa wakiyapata. Waliamini kuwa maisha yao na hatma yao ipo mikononi mwao...
Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu.
Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).
Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit.
Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye...
Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.
Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kujinyonga katika kijiji cha Majengo kata ya Ziwani Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.
Mwanaume huyo amekutwa amejinyonga jirani ya nyumba ya mkewe ambaye walikorofishana.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini...
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi.
Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek...
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.
Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa.
Gharama zetu ni nafuu sana...
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana.
Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako
Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo.
Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei...
Natafuta chumba au nyumba iwe master, eneo la Makongo Juu karibu na sheli ya Oryx au iwe mbali kidogo na sheli hiyo lakin upatikanaji wa usafiri uwe ni wa huakika kwenye barabara inayopita katka sheli hiyo.
Namba zangu 0713342243
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.