Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,009
Reaction score
22,509
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba.

Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni wivu wa mapenzi ambapo baada ya kufanya tukio hilo Mtuhumiwa alijisalimisha kwenye Kituo cha Polisi.

Kwa mujibu wa Majirani na Mashuhuda akiwemo Mohamed Ramadhan Mwenyekiti wa Kitongoji, amesema kuwa alisikia yowe na alipofika eneo la tukio alikikuta kiungo hicho cha mwili kikiwa nje.
#MillardAyoUPDATES
 
Namana mwanaume alikuwa amelewa au kawekewa daya za usingizi
 
Kukata mtu sehemu zake za siri daah!

Huu ni zaidi ya ugaidi, uhaini, uyu mama inabidi viungo vichomwe Moto kidogo kidogo Leo mkono Mpaka uive wanakata wanampa mbwa, kesho mguu, paja....

Akibaki kiwili wili wanampasua tumbo na kushona bila ganzi kesho wafumua wanashona tena kama mara tano alafu Kwa siku jino Moja Moja linang'olewa.. mpka umauti
 
Kukata mtu sehemu zake za siri daah!

Uyu ni zaidi ya ugaidi, uhaini, uyu mama inabidi viungo vichomwe Moto kidogo kidogo Leo mkono Mpaka uive wanakata wanampa mbwa, kesho mguu, paja....

Akibaki kiwili wili wanampasua tumbo na kushona bila ganzi kesho wafumua wanashona tena kama mara tano alafu Kwa siku jino Moja Moja linang'olewa.. mpka umauti
Aisee wewe una adhabu za kikatili kama wale ''wahasira'' aliokutana nao Karama kwenye kitabu cha Kusadikika. Walimwambia achimbe kaburi lake mwenyewe, kisha wamkereze kidogo kidogo kwa msumeno mpaka afe.
 
Back
Top Bottom