habari wadau.
Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.
wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,,
1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms.
Mfano:
Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮...
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Habari maboss wangu.
Ni Mimi Kwa mara nyingine tena nakuletea nyumba hii ipo Mbagala kibulugwa.
Kiwanja hiki kina nyumba mbili ndani ya fensi.
Hapa unaweza kufanya uwekezaji wa Lodge Kali sana mana nyumba ipo katika ya mtaa na magari yanapita hapa boss.
Lakini ukiamua wewe mwenyewe...
Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing?
Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana
Eneo temeke wailes
Ukubwa 500 sqm
Tambarare
Nyumba yenye ukubwa wa almost sqm 300 inauzwa Kimara Matosa:
LOCATION: KIMARA KWA KOMBA KAMA UNAENDA MATOSA
4 BEDROOMS HOUSE
3 BATHROOMS
1 SITTING ROOM
1 DINNING AREA
KITCHEN
STORE
PARKING
NB:barabara ta gari ipo mpaka eneo husika,ukubwa wa eneo ni square meter 400
BEI NI 80M
Umiliki ni karatasi...
Nyumba Inauzwa Tabata.
Mahali: Misewe B, Liwiti.
Sifa za nyumba:
• Ina vyumba vya kulala 3 na master 1.
• Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo.
• Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa.
• Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr.
• Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya...
Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele
Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi ili nianze hatua ya kwanza hiyo
Maeneo hayo msingi lazima uwe na lenter na nguzo za pembeni muhimu
Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya 100.
Wakizungumza na Waandishi wa habari waathirika wa tukio hilo wameiomba Serikali kupitia ofisi ya...
NYUMBA YA MAJINI
“KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale wanaoyapata hayo mambo wanajua na wewe usiombe yakukute hata siku moja,” ndivyo alivyoanza kusimulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.