Wakuu kwema?
Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.
Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita
Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.
Jana wazo likanijia nipige...
Nauza kiwanja changu, Namba 30
kipo jirani na hospitali ya wilaya, eneo la Lulanzi ,kata ya Picha ya ndege, Manispaa ya Kibaha.
Hospitali kilometa moja kulia na shule ya pyramid English medium ,mita 800 kushoto. Kilomita 3 toka barabara ya Morogoro to Dar es Salaam.Pia kilomita 3 toka...
MKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.
Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.
Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa.
Gharama yake ni kiasi cha...
Nyumba hii ina
1 Master bedroom
LIving room
KItchen
Dinning
Store
Public toilet
Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri
Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669
Turudi kwenye mada unaonaje hii design
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.
Ukubwa wa Eneo: Sqm...
Nyumba Inauzwa Tabata.
Mahali: Misewe B, Liwiti.
Sifa za nyumba:
• Ina vyumba vya kulala 3 na master 1.
• Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo.
• Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa.
• Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr.
• Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya...
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.
Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
Unajitafutia nafasi nzuri ya kuwekeza? Hapa kuna fursa kwako! Unanunua nyumba za zamani, unazibomoa na unajenga nyumba mpya za kukodisha, na unaanza kupata mapato haraka. Huu ni mchongo mzuri kwa wawekezaji wa kibongo wanaotaka kuanzisha mitindo mpya ya biashara.
Maelezo ya Viwanja:
Ukubwa...
Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook.
Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu
Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu
Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k...
Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo.
Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila...
Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika.
Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi.
Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye...
Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako.
Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
NYUMBA INAUZWA
MKOA: Dar es Salaam, Tanzania
WILAYA: Kinondoni
MAHALI: Bunju Beach, Moga
NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO
BEI: TZS Milioni 550
MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600
UMILIKI: Ina hati safi
NYUMBA KALI SANA INAUZWA
SIFA ZA NYUMBA:
Vyumba 4 vikubwa vya...
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.
Ukubwa wa Eneo: Sqm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.