nyumba

  1. Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  2. R

    Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  3. R

    Nyumba inauzwa Tabata Bima

    Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje hazijakamilika. Ukubwa wa Eneo: Sqm...
  4. M

    Natafuta Nyumba Zanzibar

    wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili. Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko...
  5. E

    Nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Tandika hadi Mbagala

    Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
  6. Nyumba ambayo bado haijaisha inauzwa

    NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM YENYE CHUMBA CHA MAKABATI YA KUHIFADHIA NGUO. SEBULE, DINING, JIKO, STOO NA PUBLIC TOILET. INA KORIDO PANA KUELEKEA VYUMBANI. RAMANI YAKE NI NZURI NA YA KISASA. ENEO LINA UKUBWA WA 20 UPANDE WA KULIA, KUSHOTO 20, NYUMA 20 NA KWA...
  7. Walimu musipumbazwe na kota jengeni nyumba zenu binafisi kuna kustaafu

    Utangulizi Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na PhD. Niwaase walimu usikae kota zaidi ya miaka 5, jibane ukope mkopo bank usiogope kusemwa...
  8. Njoo tukujengee nyumba kwa mkopo

    Bado tunatoa huduma ya ujenzi kwa teams ya #mkopo nirahisi na nafuu sana #irbag company reg no 140-016-446 inatoa huduma za ujenzi tu kwa teams ya #mkopo tunajenga unaishi unalipa taratibu mpaka miaka mitano (5)hakuna riba yoyote kiasi cha kulipa kila mwezi ni flat rate,muda wakukabidhi nyumba...
  9. M

    Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

    Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
  10. Ushauri juu ya heater bora kwa ajili ya nyumba ya vyumba 4

    Waungwana, amani na iwe kwenu. Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi. Nipo katika hatua za mwisho za kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya kuweka wapangaji. Nyumba ina vyumba 4. Mojawapo ya amenities ambayo...
  11. Tusio na Magari tukutane hapa

    Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura. Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa ya member ni mataita. Tuki ijua idadi yetu, tuna weza tukawa tuna waomba lift hawa ma don😆😂. I...
  12. Namba za nyumba

    Kuna zoezi mitaa ya kwetu huko la kubandika namba za nyumba zile za njano, hivi zina umuhimu gani ilhali watu wengine tulishapewa hati na kuna plot number ya eneo!!? Naona kama ni mradi tu waupigaji pesa, kila kinamba inatakiwa kulipia 5,500/= ukipiga hesabu kwa nyumba elfu kumi tu karibia...
  13. DC Mufindi: Tutafanya msako wa nyumba kwa nyumba ili Wanafunzi waende shule

    “Natoa wiki moja kuanzia tarehe 13 Januari 2025 Wazazi na walezi hakikisheni wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo katika Wilaya ya Mufindi wanaenda Shuleni, tarehe 20Januari, siku ya Jumatatu tutafanya msako nyumba kwa nyumba, lengo ni kuhakikisha Ndoto za Mheshimiwa Rais zinatimia...
  14. Mandhari na Bustani Kuzunguka Nyumba Nazo Huandaliwa Ramani Kama Hivi

    Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni utaalamu wa kusanifu ndio unaoamua jengo lako liwekwe - kitaalamu huitwa LANDSCAPE DESIGN Hapa...
  15. D

    Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  16. Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    Kuna kijana mwenzetu anaish nyumba moja na mwanamke walietengana! Hv najiuliza inawezeka hulo kwel?
  17. Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  18. Nani wa kulaumiwa hapa kwenye ujenzi wa hii nyumba?

    Wakuu nani kayakanyaga hapa?
  19. Yericko Nyerere: Nyumba aliyoshambuliwa Lissu ni ya mbowe

    Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni...
  20. Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…