nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kama tukifuga wale mijusi weupe nyumbani tunaweza kuondokana na tatizo la mbu

    Aisee hii mijusi ni msaada sana kwenye ulaji wa mbu, na kimsingi wanasaidia kupunguza idadi ya mbu nyumbani. Sasa hivi home nina mijusi 100, huwa sihangaiki kupiga dawa siku hizi. Mambo yanaenda naturally.
  2. Nyuki Mdogo

    Graduate, Umekaa tu bure nyumbani na unataka ule milo mitatu?

    We kijana uliyesoma soma huko, kuna sera mpya inakuja haiwezekani ule milo mitatu hivi hivi wakati huna kazi yoyote unayofanya hapo nyumbani Halafu ukute anayekulisha amekubali kuteseka na kazi ya laki na nusu kwa mwezi... amka upambane tukutane mezani Jioni tu Milo mitatu ni kwa watoto wadogo
  3. General Nguli

    Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  4. BARD AI

    Erasto Mpemba: Mwanasayansi aliyefariki bila kuthaminika nyumbani Tanzania

    Erasto Bartholomeo Mpemba (1944 - 2023) alikuwa mwanasayansi kutoka nchi ya Tanzania aliyegundua tabia ya pekee ya maji inayojulikana leo kwa jina la athari ya Mpemba (kwa Kiingereza Mpemba effect). Jina hili linaeleza tabia ya maji kuganda kwa haraka zaidi yakiwa ya moto kuliko maji ya baridi...
  5. Myebusi Mweusi

    Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  6. KING MIDAS

    Tulioalikwa nyumbani kwa balozi wa Italy kushehererekae uhuru wa 🇮🇹 kesho tukutane hapa.

    Nadhani tukikutana mapema jukwaani tutaweza kufanya maandalizi ya pamoja, tukae meza moja kama JamiiForums, tubadilishane mawazo, uzoefu nk. Niko hapa
  7. LA7

    Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  8. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  9. deals smart hapa

    Tunakuletea Kamera kibunifu ya Balbu ya CCTV - ongeza Usalama Wako wa Nyumbani! 🏠💡📷

    Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako? Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
  10. F

    Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

    Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu. Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi. Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
  11. Suley2019

    Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  12. Notorious thug

    Ishu sio kufa, ishu nyumbani umejenga?

    Samaleko wana Jukwaa na Moderators kwa ujumla. Unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini kuanzia Viongozi, Wafanyabiashara na Wasanii kumekua na mtindo kwenye mitandao hii Jamii watu wakitaka kufahamu mazingira na nyumbani kwa mfiwa kuna Nyumba nzuri? Amejenga? Ni mtindo uliozuka baada ya...
  13. Victoire

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  14. DR HAYA LAND

    Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

    Kwakuwa mnalalamika sana, Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
  15. S

    Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

    📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa hovyo sana Bora mechi iwe inapigwa moja tu kwenye neutral ground. 📝 Majib ya swali hili na lawama...
  16. TheForgotten Genious

    Maduka ya mahitaji ya nyumbani yapigwe marufuku kuuza dawa za kutuliza maumivu

    Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini, Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni. Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha, Jina la raia huyu ni Elva Johansson. Na kazi yake ni WAZIRI WA...
  18. IamBrianLeeSnr

    Wachaga na kisa cha kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka.

    Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro. Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
  19. Ankoh Mazukuh

    Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Wanangu wa JF mimi bwana nina jambo langu em naombeni ushauri kidogo. Mimi bwana nimemaliza chuo mwaka jana mwaka huu mwishoni natimiza miaka 23 naishi na mama yangu peke yake mzee alishafariki miaka mitatu sasa ma bro zangu walishaoa masister nao vile vile. Sasa bwana changamoto yangu ni moja...
  20. F

    Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

    Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Back
Top Bottom