nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

    Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC. Mechi nne kali za Yanga mwezi huu; Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC) Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa) Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC) Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
  2. TutorMe Group

    Kwa mahitaji ya mwalimu wa masomo ya ziada nyumbani (privately) wasiliana nasi kupitia +255653175533

  3. M

    Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
  4. v0il0r

    Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

    Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
  5. LA7

    Umeshawahi kuzulumiwa na ndugu kisha ukaona Mungu akitenda maajabu yake?

    Nakumbuka 2018 niliacha kazi ya house boy nikarudi kijijini kulima, wakati huo tayari nilishatanguliza pesa ya kukodi shamba heka 70000 moja na kulima na trecta 45000 kurudia na ng'ombe 2500 mbegu 35000 ukijumlisha na zakutolea na mpokeaji inakuja kwenye 200000. Sasa muda wa kurudia na n'ombe...
  6. TutorMe Group

    Private Home tuitoring/ufundishaji wa masomo ya ziada nyumbani

  7. TutorMe Group

    Walimu wa masomo ya ziada nyumbani (private home tutors)

  8. TutorMe Group

    Walimu wa masomo ya ziada nyumbani

  9. M

    Kocha gwiji katika bara la Africa, Robertinho amethibitisha kuwa ni mtu hatari sana kimbinu. Wydad anakwenda kupasuka nyumbani kwake

    Wachang'ombe wa mchongo tunataka mzidi kuleta polimilai zenu dhidi ya Simba sc ila jueni Wydad anakwenda kupasuka nyumbani kwao.
  10. F

    Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

    Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi. Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu. Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data...
  11. Nelson Jacob Kagame

    Ni wakati wa Wanyarwanda kurudi nyumbani

    Kumekuwepo na kelele nyingi kuhusu dissapora wa Kinyarwanda waliopo ugenini, kwamba kila Mnyarwanda ambae yupo ugenini au kwenye kambi za wakimbizi ni intarehamwe. Hizi ni jitihada za makusudi za kuzuia vizazi vya Wanyarwanda waliozaliwa ugenini wasidai haki yao ya kurudi nyumbani. Nakumbuka...
  12. J

    UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

    Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana. Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa. Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi...
  13. J

    Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

    Hello people. Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.😭 Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles. Nilivyokiona tu kile...
  14. Kidagaa kimemwozea

    Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

    Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
  15. Richard

    Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

    Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali. Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu. Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
  16. GENTAMYCINE

    Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  17. Suley2019

    Rivers United Wameshinda mechi 12 kati ya 14 walizocheza nyumbani katika michuano ya CAF

    Baada ya anguko la klabu za Enyimba, Enugu Rangers na Heartland klabu bora za Nigeria, Ndipo zilipoibuka klabu za Kano Pillars, Plateau United na Rivers United. Ni timu za kiazi kipya kwenye mafanikio. Ushiriki wao kwenye CAF umeanza hivi karibuni mwaka 2017, Hizi rekodi zao wakiwa nyumbani...
  18. Izy_Name

    Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  19. Hemedy Jr Junior

    Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

    Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala. Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu...
  20. vibertz

    Jezi ya nyumbani ya Yanga inakitu, Yanga itafika mbali

    Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake. Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya...
Back
Top Bottom