nywele

  1. Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
  2. Dawa za Kuotesha Nywele (Upara)

    Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
  3. Je, nywele za mwilini unazipenda au zinakukera?

    Kausiku kameingia, njooni tuzogoe. Mpo humu wanaume ambao mnapenda muachiwe mbususu zikiwa na minywele imetaradadi, wakinyoa mnakasirika mfano mzuri huyu hapa "Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa." Na pia mpo humu wanawake ambao mshakutana na wanaume...
  4. Washiriki wa shindano la urembo wazuiwa kuvaa mawigi, watakiwa kuonyesha nywele zao za asili

    Kamati ya maandalizi ya shindano la urembo nchini Ivory Coast (Miss Côte d’Ivoire 2025 -COMICI) imetangaza kuwa katika hatua za awali za mchujo, washiriki hawataruhusiwa kutumia nywele za bandia. Badala yake warembo wote wanapaswa kuonyesha nywele zao za asili, iwe ni ndefu, fupi, au zimekatwa...
  5. Faida za Parachichi kwa Nywele: Kutoka Grace Hair and Body Gardener

    Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele na jinsi ya kutumia bidhaa ya Grace Hair and Body Gardener ambazo zimetengenezwa na mafuta ya...
  6. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?

    Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
  7. G

    Kama umeanza mwaka 2025 ukiwa na zile nywele zenye jina baya hutoboi, utatoboka.!

    Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka 2025.
  8. Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  9. Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  10. Anataka kuniacha kisa nanyoa mala mbili Kwa mwaka nywele za chini

    Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali...
  11. SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  12. Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  13. E

    Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

    Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni
  14. Ni sahihi kwa mume kumfumua mkewe nywele?

    Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
  15. W

    Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  16. Kuota umekula/unakula nywele au unajaribu kuivuta kutoka kinywani au katika chakula

    Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake.. Sasa ukiota unajaribu kuondokana na nywele na kuiondoa kwenye chakula au kinywa chako, lakini hukuweza kufanya hivyo, basi hii...
  17. C

    Rosemary hair oil kwa ajili ya kukuza na kujaza nywele

    Mafuta asili ya Rosemary ni mafuta yanayotengenezwa na viungo mbalimbali mahususi kwa ajili ya ukuaji wa nywele. Mfano Rosemary yenyewe,black seed,fenugreek,hibiscuss,mint leaves,bay leaves,amla,chebe,ashwagandha nk Na carrier oils kama Almond oil,virgin coconut,olive na avocado oil. Tupo...
  18. C

    Fahamu maajabu ya mmea wa Rosemary katika urembo wa nywele

    MAFUTA ASILIA KABISA YANAYOTENGENEZWA NA ROSEMARY ILI KUHAKIKISHA NYWELE INAKUA NA KUJAA KWA MUDA WA WEEK 2. ROSEMARY NI MMEA UNAOSIFIKA KWA KUKUZA NA KUZUIA NYWELE KUKATIKA. Tupo Makumbusho stand Bei ni 15,000/= 0689 209 209 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  19. E

    Nauza mashine ya kunyolea nywele ni mpya kwenye boksi lake, KEMEI Model 809A

    Bei 50,000/= KEMEI model 809A. Ni ya kuchaji, inatunza chaji mpaka masaa 4. Ni mpyaa, kwenye boksi lake na kila kifaa chake kipo ndani ya boksi.
  20. Ujue ugonjwa unaoshambulia nywele (Trichomycosis)

    Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri? Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama Trichomycosis (trichobacteriosis). Trichomycosis ni hali ambayo inahusisha ukuaji wa bakteria kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…