nywele

  1. R

    Kwanini nywele za mawigi au rasta huoneka smart kuliko nywele natural?

    Wakuu, Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa smart. Siku mwenye natura akisuka rasta anaambiwa sasa leo umesuka? Kwanini iko hivi? Lakini pia...
  2. R

    Ni kweli ukiosha nywele zilizotiwa dawa (relaxers) na Coca-Cola dawa inatoka na nywele zinarudi kuwa natural?

    Wakuu, Kuna hii taarifa hapa na hata jana tu simesikia, dada kaweka nywele zake dawa akisema akichoka kuwa na nywele hizo zenye dawa basi ataziosha kwa kutumia kinywaji cha Coca-Cola na nyele zake zitarudi kuwa natural kama mwanzo, hii ni kweli? Maana mimi najua nywele ikiwekwa sawa haiwezi...
  3. Pang Fung Mi

    Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  4. Teslarati

    Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu. Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani...
  5. Teko Modise

    Tuambie huwa unanyoa mtindo gani wa nywele na kwanini?

    Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani, na kwanini unapenda mtindo huo?
  6. nashukuru mzima

    Waziri Maulid Mwita aomba radhi na kutengua kauli ya katibu mtendaji wa baraza la sanaa juu ya kulipa 1,000,000 kupata kibali cha mwanaume kusuka

    HABARI Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, ameomba radhi na kutengua kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt Omar Adam ya kwamba mwanaume yeyote anayetaka kusuka visiwani humo itambidi alipie...
  7. Lycaon pictus

    Ni desturi kwa Waswahili kusuka nywele bila kujali jinsia zao, kwanini Zanzibar wanakataza wanaume kusuka?

    Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
  8. BARD AI

    Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  9. SPINE

    Msaada: Njia bora ya kurudisha weusi kwenye nywele zilizobadilika rangi

    Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau. Nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa...
  10. Dr. Zaganza

    Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    NATURAL SKIN SOLUTION IMANI YETU Tunaamini kazi kubwa ya msimamizi wa biashara (CEO) ni kuunganisha sera, mipango , rasilimali pamoja na miundombinu kuhakikisha biashara inapata faida kubwa kwa kadri inavyowezekana Katika kufikia lengo hili , CEO atajikita kufanya maamuzi ya aina mbili; Moja...
  11. sky soldier

    Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

    Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa. Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
  12. system hacker

    Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

    Kazi kwenu warembo wetu. https://indianhair.net/blogs/journal/real-indian-temple-hair-all-you-want-to-know
  13. Kizibo

    NADHARIA Mafuta ya nywele ya Body Luxe yanasababisha Mvi za mapema kwa Mtumiaji

    Matumizi ya muda mrefu ya mafuta ya nywele aina ya body luxe (body luxe hair oil) husababisha mvi kuota kwa kasi katika umri mdogo. Hapa nazungumzia haya mafuta ya nywele ya body luxe yenye kopo la pink lenye picha ya mwanamke ana nywele ndefu. Picha: Muonekano wa chupa za mafuta ya Body Luxe...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  15. Nakadori

    Dawa gani ya kusafishia nywele iliyosukwa isiwe na harufu ya uvundo?

    Warembo wa jukwaa hili naomba kujua dawa au spray ya kusafishia nywele zilizosukwa ili kutokuwa na uvundoo. Asanteni
  16. Andazi

    Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

    Hazinyolewiiiii
  17. Nakadori

    Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  18. Nakadori

    Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
  19. Sildenafil Citrate

    SI KWELI Ulaji wa mayai wakati wa ujauzito husababisha kujifungua watoto wenye vichwa vikubwa au wasio na nywele

    Wanawake wajawazito hupewa tahadhari au hata hukatazwa kabisa kufanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaepushia madhara yanayoweza kuhatarisha afya zao, pamoja na mtoto aliyeko tumboni. Miongoni mwa mambo yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu ni kuzuia wanawake wajawazito kutumia mayai...
Back
Top Bottom