Olives are a wonderful fruit native to Mediterranean Europe. They are also cultivated in many other regions of the world nowadays. Some of these including North and South America, South Africa, China, India, Australia, and New Zealand. But olives’ health benefits tend to fly under the radar, as...
Tukio siyo halisi.
Mtanzania mkazi wa Kijiji cha Kowak (a.k.a Home of Intellectuals) Wilayani Rorya Mzee Sebastian Obaso Ogutu (70) amedakwa na Polisi Migori–Suna County Kenya kwa kosa la kujisaidia haja ndogo na kubwa sehemu isiyoruhusiwa kwenye mtaro wa barabara kuu ya Migori–Isebania. Baada...
Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza kuwa na cheni za dhahabu kichwani badala ya nywele, "Hizi cheni zimewekwa ndani ya ngozi yangu, mimi ni...
Wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black.
Cha kushangaza nisipopaka super black nywele zinakuwa nyekundu (imagination). Hii ilipelekea kuwa mtumwa wa super black, hali hii inaniboa...
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu...
Wapendwa naombeni mwenye kujua nywele zangu niliweka dawa na ni fupi ila sio sana natamani ziwe kama hivi[emoji116][emoji116]
Je, zitakuwa nzuri kweli?
Habarini za leo marafiki.
Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya nchini Tanzania wamesema nywele sehemu za siri hazitakiwi kuondolewa kutokana na umuhimu wake hasa kuzuia bakteria na wadudu mbalimbali kuingia mwilini.
Wamesema kulingana na tafiti mbalimbali zilizowahi...
Habari wakuu?
Nina changamoto ya nywele zangu kila zinapokuwa na kufikisha urefu wa karibia sentimita 2 hivi huwa zinabadilika rangi na kuanza kuwa nyekundu au pengine ule weusi wa nywele kufifia.
Sasa wakuu ni vipi naweza kuzifanya nywele zangu zikaendelea kuwa na rangi yake nyeusi ya asili...
Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia.
Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na kucha zake vikibaki kwenye hali taaban,
Unakutana na mdada kasuka knotless kachora wanja wa lulu...
Pamekua na wimbi kubwa la vijana haswa tulio katika muda wa kuchagua yupi wa kufunga nae pingu za maisha, kuhofia wanawake wanao weka style fulani fulani kwamba hawajatulia au wakorofi nk.
Ningependa kujua wewe mwenzangu unatafsiri vipi hii mitindo ya nywele.
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko.
Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilivyoonyeshwa hapa chini. bushmamy
Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour.
Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
HABARI WAKUU MBALIMBALI; Kuna mdau kanielezea yeye hapendi nywele za kifuani so toka zimeanza kuota amekuwa na tabia ya kuzinyoa kila ikifikia level flani ni kwa muda sasa amekuwa akifanya hivyoo, anauliza je kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea hapo mbeleni???
Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji.
Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni
1.Udongo tiba
2. Sabuni za udongo
3.Lotion...
Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji.
Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni
1.Udongo tiba
2. Sabuni za udongo
3.Lotion
4...
Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi.
Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
Story ipo hivi huyo dada nilikutana naye pande flani hivi maeneo ya Sokoni ilikuwa Jumapili jioni, nikamwomba namba akanitoa kiroho safi. Mahusiano yetu yakaanza tumekaa kama miezi mitatu kama sikosei.
Sikuwa namtafuta maana namba yake ilikuwa haipatikani mpaka nikaona ngoja nitulie kwanza, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.