Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali.
Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa?, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi wanaosifika kuwa na akili kubwa, basi wengi wao walifuga nywele ndefu.
Je, kuna siri yoyote...
Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu.
Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya binadamu yanayoibuliwa kila kukicha.
Baada ya kufariki, sayansi inasema kuwa ukuaji wa kiumbehai...
Hili dogo linatisha! ukimuangalia kwa haraka haraka urefu wa miguu yake kama nkwazi.
Huwezi kabisa kumtofautisha na mshambuliaji wa man city earling hallaand! derby ije haraka!
Hawa madogo ndio tunawataka taifa stars!
Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali.
Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipozaje? Maana!
Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye ushungi....
An Iranian man nicknamed the "dirtiest man in the world" for not taking a shower for...
Alipambana na kukamilisha mchuano nywele zikiwa nje akiwa huko Korea, sasa amegeuza nyumbani Iran na kupokelewa na maelfu ya wananchi amao wamechoka dhuluma za kidini, ila pia majihadi yanamsubiri hivyo maisha yake yako hatarini....
Iranian competitive climber Elnaz Rekabi received a hero's...
wanakupumbaza akili kwa madawa ya kienyeji ama technique wazijuazo wao na kukufanyia mazingaombwe ya kukutemesha kucha au nywele, huwa wanakua wawili mmoja anajifanya anauliza sehemu mwengine anajifanya mpita njia.
Mkasa wangu niliwahi kumsimulia mtu moja tu wa karibu sana, wengine huwa...
Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia maandamano .
Mamia ya waandamaji wakishikiliwa, 20 kati yao wakiwa waandishi wa habari na yameendelea...
Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao.
=========
The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
Mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele zake kilionekana wazi, imesababisha wa-Iran waseme imetosha, uzombi wa kidini hawautaki tena. Miji 80 ya Iran inatamalaki waandamaji.
Nilishangaa sana FaizaFoxy anatetea huu ukatili kwa wanawake wenzake kisa mzuka wa kidini.
=====
Large protests...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Nywele za watoto wachanga zinaponyolewa huwa zinapelekwa kwa nani na kwanini?
Pia kumekuwa na kitovu cha mtoto kimekuwa kikichukuliwa huwa wanapeleka wapi?
Pia wanaochukua kitovu na nywele wanazifanyia nini?
Haya maswali nimejiuliza ni...
Baada ya kutumia muda mwingi kutafiti [kigooglegoole] masuala ya nywele na upara na mambo yanayohusiana na hayo, basi leo nimehamishia udadisi wangu JF.
Katika kupitiapitia baadhi ya nyuzi nimegundua kuna watu hasa kwa kutojua wamekuwa wakishauri vitu kuhusiana na upara katika namna...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka.
Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo...
Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja juu ya wafungwa wa kivita wakati wa WWII. Huyu jamaa alikuwa ni mmarekani aliyekuwa anaishi Ujerumani. Baada ya Warusi kuingia Berlin, wakambeba wakimtuhumu kuwa mNAZI.
Akiwa gerezani njaa ilikuwa kali sana. Walikuwa kila siku wakati wa msosi...
Kwanza awali ya yote napenda uelewe kwamba Kichwa Cha binadamu kinaunda na vishikizi vipatavyo 100,000 Hadi 300,000 ambapo kuptia vishikizi hivi nywele huota
Nywele huota kutokana na sababu zipatazo mbili kuu ambazo ni pamoja na homoni na virutubisho ikiwemo vifamin mbalimbali na madini ya...
Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka...
Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k.
Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji kila company anisaidie.
Nitashukuru sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.