Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku .
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali. Nywele hazina uweusi mzuri, napata shida kidogo kwenye suala zima la utanashati .
Kwa sasa natumia...
Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.
Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na wengine wajifunze
Kwa mimi nywele zangu zina miezi mitatu tangu nianze kusuka, kwa sasa nabana na...
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu na tafadhali anza zako tu Kutiriika na Kuserereka kwa Kutupa (Kutoa) Elimu yako na ikiwezekana na Uzoefu (Ubobezi) wako wa Kiuweledi hasa wa Kibaiolojia na Sayansi ya Mahusiano (Mapenzi) ya Mwanadamu.
Karibuni nyote na nawasilisha.
Wanasayansi wamegundua mahusiano ya kutatanisha kati ya saratani ya matiti na madawa ya nywele na kemikali ambazo hujulikana kama relaxers. Utafiti mpya unaonesha kuwa wanawake ambao walitumia bidhaa hizi walikuwa na uwezekano wa kupata saratani ya matiti kuliko wanawake wengine ambao...
Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu
Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone.
hii inasababisha na nini wataalam?
Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...
Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo.
Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga.
Hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.