Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth...
NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro
Njoo na ofa yako
Mawasiliano. 0672701329
Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City.
Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi...
Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.
Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet...
Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee.
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana.
Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia.
Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Wana madai ya Msingi sana.
UHALISIA ULIVYO
Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe....
Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie.
Kukubali Uchaguzi katika...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na teknolojia.
Hata hivyo, si kila bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni yenye manufaa au sahihi kwa...
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?
Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine.
Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani.
Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and...
Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri.
NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.