Habari gani wadau.
Poleni na majukumu, ndio maisha yalivyo kikubwa uhai.
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza nimshukuru sana Mwenyezi Mungu, sifa na utukufu vimrudie yeye maana kui controll hii dunia na mipangilio yake ni kazi mnoo..imagine wewe unavyolia mwingine huko anacheka... na kuna...
Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam
Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu.
Pamoja na kuwapo na wageni...
Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
Jaman Bado nateseka Hali yangu inazid kuwa mbaya juzi nimetokewa na malenge lenge kat ya mapaja na chini ya korodan panazidi kuwa peusiii mno Kila nikipak detoll panakauka na mangoz yanabanduka na maumiv makal mno nikitembea ni kama nachwanwa korodan msaada jaman😭😭😭😭
Kuna michezo ya casino hii kama online slots na live casino inakuja kwa kasi sana sikuizi watu wanaopoa pesa nyingi sana huku. Kuna site zipi nzuri ambazo zinafaa sana kushiriki na michezo kama hii na je ni michezo ipi hasa mfano slots zipi ni nzuri?
Waswahili hawakukosea waliposema " nioneshe rafiki yako nikwambie tabia zako"
Sote tunakubali mpaka sasa( hatujui hapo baadae) Mh Rais Samia( PhD honorius causas) Ni rais wa pekee sana.
Ni wa pekee kwa sababu ndio Rais ambaye ameweza kwa uwazi kukemea mambo maovu yaliyokuwa yakitendeka hapo...
Habari Gani Mataalam.
Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya.
1. Mchepuo wa sayansi
2. Iwe mchanganyiko(Girls&Boys)
3. Ada iwe around 2M-3M
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.