Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta.
'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile.
Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency.
Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi.
Ukiwa na...
Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa.
Kuna hizi bidhaa hapa
Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita.
Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake.
Nawasilisha.
Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na mifugo.
Sasa kuna wasomi wengi nashangaa wana lalama eti ndege ya saudi ambayo itakuja kuchukuwa mizigo...
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC
Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu
Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake
Napendelea kampuni ya dell
Nipo chuo 1st year napiga IS
Shukrani 👍☺️
Kwanza salaam
Unguja na Pemba ndiyo zao la nchi ya Zanzibar ila nitoe exclusion kwa Pemba sijawahi kufika ila unguja/Zanzibar imejawa kila aina ya uchafu licha kuwa watu wake asilimia 90 ni waislamu.
Mifumo ya maji taka ni mibovu hakuna streets chember au mifereji ya maji taka mfano maji ya...
Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa!
Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama:
Bongo flava,
Tanzania
2000s
Bongo Records
Professor Jay
Juma Nature
Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
Habari
Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 inayo chana mawimbi ya music vizuri +strong base maana kifaa changu kina feature ya DTS sound...
Nawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
Salaam wakuu,
Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo.
Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school.
Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena.
Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.