Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth.
Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City.
Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo...
Wakuu hamjambo? Kijana wangu kamaliza kidato cha nne 2022, ufaulu wake ni C. C. C ktk comb ya CBG. Natafuta shule yenye unafuu wa karo iliyopo hapa Dar au Pwani. Ukinijuza shule na karo yake utakuwa imenisaidia sana.
Shukran.
Habarini Wakuu,
Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara.
Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
Habarini wana jamvi.
Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story.
Ilikua hivi, miaka hio...
Nawasalimu natumaini tuko poa na wagonjwa Mungu atujaalie afya zetu ziimarike.
Leo imekuwa siku nzuri ya kumbukumbu nzuri maishani mwangu
Kama kitu nilibahatika ni kuwa mtoto wake.
Mama aliwahi kunambia kabla ya kuzaliwa kwangu baba yangu alikuwa asiyejali kabisa kuhusu future yake ila baada...
Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie.
Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai!
Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa!
Sasa...
Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
Wadau,
Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.
Ipi ni sehemu sahihi?
Hello jF,
Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri.
Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro.
Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home.
Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha.
Yanga Bingwa CAFCCC
Leo ni Siku muhimu Kwa Mkoa wa Dodoma ambao ni makao makuu ya Jamhuri ya Muubgano wa TAnzania, kwani unafanyika Uzinduzi wa Jengo la Ikulu (State House ambayo pia ni Ofisi na Makazi ya Raisi na Makamu wa Raisi.
Kwakweli Leo nimefarijika sana na uandaaji wa Tafrija hii kwani wameweka na Vyombo...
Hasa kwetu tunaotumia vifurushi vya kupima kwa ndonya vyenye kikomo cha GB, Hivyo kwetu GB hizo ni mali.
Binafsi kwenye Pc nimeipata hii software ya Net Traffic, ni kasoftware kadogo tu kana KB kadhaa ila kazi yake iko poa. naweza kuangalia kiasi cha data nachokitumia live, kwa saa, kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.