Habari,
Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi Afiya...nk.
Naomba kufahamu upatikanaji wake, bei, muuzaji.
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari
Kama kijana...
Na Askofu Bagonza
1. Rushwa
Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi.
Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi?
2 ...
Wana familia ya Jf,
Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe.
Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
Nawasalimu kwa Jina la JMT!
Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi.
Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua.
Hongereni sana...
Wasalaam JF,
Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc.
Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
Hasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo.
SILAHA ZANGU
1. FIRIMBI
firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga.
2. MANATI
Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za...
Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri".
Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
Labda ukawa unafahamu studio inayopiga picha kali, kubwa na zenye ubora wa kiwango cha juu kwa ajili ya biashara ama mitandao ya kijamii mkoani DSM
Tupeane Location, gharama pamoja na picha ya mfano wakuu
N.B: Usiweke mawasiliano ya aina yoyote ya photographer kwenye huu uzi. Sio maalumu kwa...
Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini.
Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi?
Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu?
Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees...
Wakuu,
Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake?
Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka
Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango
Na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.