Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi.
Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao.
Msije kusema sikuwatahadharisha.
Wadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi.
Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja.
Nami nahitaji mbili zinazodumu
E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.
Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference
The special counsel investigating Donald Trump's efforts to overturn the 2020 election results has issued four charges against the US former president.
The 45-page indictment alleges Mr Trump orchestrated a broad conspiracy...
"Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..."
Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...
Nia ya mkataba wa DP WORLD ulikuwa na nia njema ya kuiongezea Tanzania mapato makubwa na baadae kuwekeza fedha hizi katika miradi ya maendeleo lakini kwa nia njema kabisa utaratibu haukufuatwa.
Kutokana na mapungufu hayo nashauri mkataba huu UFUTWE MARA MOJA na tuanze upya kutafuta wawekezaji...
Uzuri wote tulivaa kijani na njano, hakukuwepo na kaki au nyekundu humo ndani.
Kama una bundle angalia na usikilize hii 👇🏾.
Mzee baba alikuwa anapiga madongo ya kusiliba aina ya ukopaji na kuomba ovyo misaada, hii ilionyesha alikerwa sana na mfumo wake.
Ndugai (huyu aliyewahi kuwa spika...
Hili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana.
Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata habari njema, nashangaa sana.
Ni kweli haya mambo yapo au ni coincidence tu?
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo...
Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa.
Lakini jambo la pili...
Habar za usiku wananzengo!!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi.
Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara
Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika.
CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.