Binafsi niwashukuru sana MWAUWASA kwa kurudisha huduma ya maji ambayo ni endelevu kwa sasa kwa maeneo mengi Jijini Mwanza.
Hongereni sana.
Mjitahidi kuwa na huduma ambayo ni endelevu kwa maeneo mengi jijini Mwanza ili wananchi tuwe na imani na Mamlaka yetu.
Asanteni sana.
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.
Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.
Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu.
Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo?
Karibuni.
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa.
Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam
Whatsapp/ normal call +255626682228
Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote.
Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.
Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.
Asante.
NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko...
Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo.
Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia
Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi
Kwanza Kuna wale wanunulia...
Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia.
Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
Wakuu habari,
Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa.
Mbarikiwe.
Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu.
Yani wao wanachofanya ni kusomba Soc za zamani zilizopitwa na muda ambazo huwa zimepungua bei, Tatizo sio soc za...
Natumain wazima na weekend inaenda vizuri
Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki
Mahitaji
Samaki aliekaangwa
Kitunguu maji na kitunguu swaumu
nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi
Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo )
Pilipili manga kama utapendelea
Nazi Kama...
Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%.
Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa.
Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.