Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi.
Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona fursa zinazokuja na hasa kwenye nyanja ya M2M
NB: Founder wa openAI alianza kujifunza ML and AI...
Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali..
Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi waweke mfumo nzuri wa taarifa......ili mtu akihitaji source iwepo...na asitokee mtu akapotosha ..hizo...
Habari za humu Jumba la Melo!
Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo.
Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.
Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli!
Mara nyingi huwa nasema hakuna jamii hapa duniani watu wake wakarimu, wana imani na roho nzuri kama waarabu, namaanisha kweli. Wengi wao wamejaaliwa haswaa
Hizi clip zimetrend mitandao mingi, kwa wale wabaguzi, wenye chuki dhidi...
Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo.
Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru.
Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!
#Hii Imeenda
Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali.
Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la...
Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini.
Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana.
Mipango yao inachochea...
Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari.
Size ni 3x6
Mbao ni Pine na Cyprus
Bei 100,000 na godoro lake.
Location: Dar es Salaam
Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.