Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.
Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
Iliichukua TANU chini ya miaka kumi kupata uhuru wa Tanganyika, lakini sasa ni zaidi ya miaka hamsini Tanganyika inapambana kutoka katika shimo lililowekwa na watawala weusi bila mafanikio.
Ingawa Muungano huu bandia uliopo kati ya Tanganyika na Zanzibar unawanufaisha sana Wazanzibar, lakini...
Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino.
Yaani ni kama huko...
Mbombo ngafu, hii imekaaje?
CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari...
Habari za mida wakuu,
Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na mgongo Na joints.
Hilo zoezi unafanya kila siku asubuh Na jioni Kwa muda wa dk 15 mpaka 30...
Mambo vipi wakuu?
Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7.
Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari?
Iwe na sifa zifuatazo:
-Chakula kizuri (muhimu sana)
-Mazingira (library, computer room etc.)
-Inafaulisha.
NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi.
1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata nguvu zaidi na viongozi wa upinzani wako serious sana.
2. Wamesema “watakinukisha” maana yake ni...
Wakuu habari za uzima?
Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki.
Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy.
Nilijaribu kufatilia moja maeneo ya shabaan Robert ada kidogo juu.
Mwenye ufahamu wa hili anijuze
Karibuni.
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.
Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
It is very funny!
1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa.
2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile
1)Dynamite ya taio Cruz
2)International love ya pitbull ft Chris brown
3)Coconut tree ya mohombi
4)Bumpy ride ya mohombi
5)Moves like jagger ya maroon
6)On the floor ya Jenifer Lopez
7)Dj got us fall in love again ya usher...
Habari ya muda huu wakuu..
Leo nitatoa dodoso dogo linalozungumzia histori,na maelezo ya vivutio mbalimbali vinavyopatikana kisiwa kidogo kilivhopo maili 4 kutoka unguja. Kisiwa hiki kinaitwa Changuu au Prisona au kisiwa Cha Kobe.
Kisiwa Cha prisona kilianza kujulikana hivyo, kuanzia mwanzoni...
Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%.
Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri wanaishi katika nchi 2 tofauti!
Viongozi wengi wa sasa wanazidi kunenepeana huku raia walio wengi...
nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni
ina vyumba 3
Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet
main room[master room 1]na choo chake
Dining room
jiko
sebule
pia banda lake la nje
lina chumba 1 na public toilet
sebule n jiko
ina ukubwa eneo qm 900
ina maji safi kbsa
ni Km 1.9 kutoka...
Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Habari za leo wakuu,
Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu?
Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia.
Nikipata username za instagram ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.