Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza.
Sifa ya Playlist
Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza.
Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako.
Piga hii namba...
Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake.
Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za kisiasa ambazo sijui kwa hakika zinaingiaje kwenye kupandisha eneo hadhi.
Sababu zao zinaweza kuwa...
Habari
Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi.
Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.
Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea.
Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli.
Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana.
Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8.
Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu.
Wanasema Mewe wako vizuri...
Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
Hellow Wapendwa wa Jamiiforums,
Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka.
Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000. Wewe mdada jipende jamani,vaa pendeza uonekane,wakaka mnunulie mkeo,mpenzj wako au jata crush wako...
Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa.
Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri?
bayankata
Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel.
Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
Habari za muda huu waungwana.
Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk.
Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Mei Mosi, niliendelea kumsikia kwenye taarifa ya habari na kumsoma...
Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali.
1. Lizaboni
2. Bia yetu
4. Lucas mwashambwa
3. MamaSamia2025
4. USSR
5. Etwege...
Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition.
Ram 6 GB
Internal storage 128 GB
Single sim card
Size 6.1 inches
Network 5G
Bei 500,000/=
Protector cover bure
Nipo Tabata Segerea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.