Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu maeneo ya Mwananyamala. Kutokana na hali ilivyo tunatazamia kuweza kuwahamisha iliwawe karibu na...
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya muda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia mbinu gani ili aondoke kwenye maisha yako?
Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha...
habari vijana.
nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.
bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.
ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika.
kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
Ni hivi penzi bado jipya kabisa.
Na kitoto cha elfu 2.
Kimeomba godoro.
Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii.
Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa.
Kava tayari lilisha toka...
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.
Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:
Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc
-Oriana
Made in Thailand [Tsh 24000-27000]
-Standard gypsum
made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
Salamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo Flex) ambao wanatoa riba ya 9% annually, TCB ambao wanatoa 11% annually and UTT-Amis ambao wanatoa...
Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao.
Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH
To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
Salaam wana JF, k
Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz life huku iko juu bora nikusanye nikipata hta M140 najua nitaishi nyumbani bila kuhenyeka sana, ni njia...
Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila wanacho fanya hawakitolei machozi, jasho na damu kama wewe.
Wanaokuambia eti Hardwork beats Luck ni njia...
Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote...
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.