Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh "
Nikinukuu baadhi ya verse
" Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe "
Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri.
Haya...
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.
Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
Habari zenu wana jamvi!
Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi.
Kisa changu kinaanzia hapa;
Tangu nilipoacha masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mambo yalikuwa ni magumu kwa upande wangu.
Sikuweza kujua nianzie wapi ili...
Wadau,
Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.
Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi hizo.
Kwa ushirikiano wa serikali, wawekezaji na jamii nzima kupitia sera zenye maono na...
Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa.
Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
Habari wadau!
Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza.
King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit
NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
Nategemea kutembelea mji wa Kigoma mwanzoni mwa mwezi wa tano mwaka huu. Kwa mwenye uzoefu na mji wa Kigoma, naomba kufahamishwa sehemu nzuri ya kufikia na maeneo ya kutembelea kwa wiki tatu nitakazo kaa kule.
Naenda kupumzika likizo.
Habari wakuu,
Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika...
Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi
Kwa anaejua hospitali naomba...
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.
Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽.
Naombeni muongozo!
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala.
Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya.
Mamlaka za Dar...
Habari wana jamii,
Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana.
Naombeni ushauri tatizo...
Benki ya Standard Chartered iliamua kufanya utafiti wa maisha halisi ya wastaafu wapatao 100..
Kutoka kwenye ajira za Serikalini, Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi kwa muda wa miaka mitano (5) wakapata na matokeo yafuatayo:
1. Wastaafu 49 kati ya 100 (49%) walikuwa tegemezi kwa ndugu zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.