nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Hotuba nzuri ya kwanza ya Lissu tangu nimfahamu

    Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa. Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji, biashara, uvuvi na ufugaji kama chadema ikipewa ridhaa. Hata Ruto aliimba hayohayo wakati...
  2. milele amina

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  3. Down To Earth

    Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  4. Kinumbo

    Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  5. PMWAKA

    Msaada wa website nzuri ya kupaste ulr kudowload movies for free zinazokua kwenye website za kuuwatch online tu.

    Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu. Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
  6. kavulata

    Njia nzuri kutatua mgogoro DRC

    Ili kumaliza mgogoro DRC jumuiya ya kimataifa LAZIMA ifanye yafuatayo: 1. DRC iwatambue na kuwakubali raia wake wenye asili ya makabila ya nchi nyingine. Kama vile Tanzania ilivyoyatambua makabila ya wamasai, wasegeju, wajaluo, wapare, wahaya, wamakonde, wamanyema. 2. Rwanda na Uganda izungumze...
  7. kipara kipya

    Kosa la chasambi tumeliona game nzuri tumeshuhudia ila Mpanzu ni habari nyingine

    Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi..... kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya...
  8. kipara kipya

    Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  9. Mr Chromium

    Niwekee Tyres nzuri kwa ajili ya sakafu!! Nimechagua rangi hadi kichwa kinaniuma

    Wakuu wataalam wa design
  10. Ojuolegbha

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  11. Dr Luu

    SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  12. Braza Kede

    Gari gani ya mitsubishi ni nzuri kutembelea

    eti wakuu kwa hizi gari za familia za kutembelea ipi ni gari nzuri ya mitsubishi?
  13. R

    Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  14. GENTAMYCINE

    Sina shaka nae katika Hotuba zake nzuri zenye Maneno ya Matuamini, ila nimemuangalia kwa Jicho langu la Kiyahudi Jamaa kaumia mno na atawahama

    Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
  15. Nehemia Kilave

    Tutakosea sana kama hatutampongeza Godbless Lema kwa msimamo na kazi nzuri aliyofanya uchaguzi CHADEMA

    Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana . Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
  16. LA7

    Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
  17. Alubati

    Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

  18. BabaMorgan

    Kutengeneza content inayohusiana na pombe za kienyeji inaweza kuwa idea nzuri kwenye digital platform.

    Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi inavyotengenezwa mpaka kuwa tayari kwa matumizi. Pia kunywa pombe yenyewe na kutoa mtazamo juu ya...
  19. M

    Natengeneza projects za aina yoyote bure njoo na idea yako tuu hakikisha ni nzuri na yenye kunufaisha. Soma maelekezo kwa kuelewa

    Wakuu mko salama Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza... Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
  20. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aitaka Idara ya Uhamiaji Kutoa Huduma Nzuri kwa Wageni, Kuchochea Utalii

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali. Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
Back
Top Bottom