nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Mchengerwa hajapongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya?

    Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani! 1. Mchengerwa naye alipongezwa kwa kazi nzuri iliyofanywa na TAMISEMI? 2. Kati ya Mchengerwa na Masauni nani...
  2. comrade_kipepe

    Hapa Tanzania kuna mrembo mzuri kuzidi hii?

    Hivi kwa bongo hii kuna MBOGA Safi inayovutia kuzidi hii? Kuna watu wanakula MBOGA Safi bana!
  3. Lovelovie

    Tunauza nguo nzuri za wadada Mwanza

    Tunauza nguo za kike Nguo nzuri, quality nzuri Tunapatikana Mwanza Kirumba 0699728254 watsap/call Mikoani natuma Karibu upendeze.
  4. kayanda01

    OBD2 Scanner for personal use kwaajili ya Japanese cars. Brand gani ni nzuri?

    Wakuu, Title yajieleza. Nahitaji ObdII Scanner ambayo ni more portable na simple kutumia for personal use. Targeted vehicles ni Japanese, i.e Kluger, Raum, Ist, Premio, Wish, Harrier, etc. Iwe corded or wireless. Moderate price. Nichukue brand gani?
  5. B

    Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

    Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
  6. Waufukweni

    Simiyu: Kihongosi amzawadia Msaidizi wake Pikipiki kwa kazi nzuri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi yake. Kihongosi amesema kuwa ameamua kutumia mshahara wake kumnunulia msaidizi wake huyo zawadi ya...
  7. Akilindogosana

    Je, ni kweli Dyna na Toyoace sio gari nzuri? Hasa Kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T

    Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi, Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi? Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji? Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
  8. tutusi27

    Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  9. zeck john

    Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  10. D

    Pasi nzuri za kisasa zinauzwa

    Habari wakuu. Pasi ni nzuri Sana unaweza kutumia mvuke. kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya nyumbani. Bei ni 150,000/- Zipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa zikakufikia. Karibuni
  11. S

    Hivi speed ya 1.6GHZ ni nzuri au siyo nzuri kwa laptop?

    Hivi jamani speed ya 1.6GHZ kwenye pc ni nzuri au sio nzuri mana nimeambiwa speed ndo iyo na Ina GB 16 SSD na ram 4 vp iyo PC Iko poa au majanga tu?
  12. B

    Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

    “Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi...
  13. S

    Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

    Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi. Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu...
  14. happyxxx

    Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza. Niliwaza kutenengeza pedi lakini naona mtaji wake utanishinda inabidi mzigo kuagiza utengenezwe China pia nikisema nizalishe hapa hapa...
  15. DMmasi

    Kazi inahitaji finishing nzuri

    Katika harakati za kujitafuta nilifanikiwa kukutana na huyu jamaa na sasa tunaishi kama ndugu. Ndio kwanyakati tunakutana wote tulikuwa tunapitia hali flani ambazo nisehemu ya mapito kwenye maisha yetu. Mwisho nilikuwa chini yake kama (nyokaa) wakati naendelea kutafuta tobo kuna kazi nilikuwa...
  16. Bob Manson

    Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
  17. LA7

    Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  18. Magical power

    Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  19. Roseyree

    Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  20. shakidy

    Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
Back
Top Bottom