nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kati ya Bank na law firm wapi pazuri kufanya kazi

    Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth... NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
  2. Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  3. K

    BEI NZURI YA MISE

    Habari za kwenu wadau. Naomba mnisaidie kujua ni sehemu gani naweza nikapta mafuta ya Mise kwa bei nafuu Nawakilisha kwenu. Mimi nipo Dar es salaam.
  4. Nahitaji printer ya epson yenye hali nzuri. Nipo moshi

    Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro Njoo na ofa yako Mawasiliano. 0672701329
  5. Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  6. Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

    Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi...
  7. Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  8. Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

    Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar. Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet...
  9. Wanywa kahawa tu:-Hivi kuna kahawa nzuri yenye kuchangamsha kama Nescafe Gold?

    Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee. Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana. Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
  10. Kitendo cha Waziri Simbachewene kuvaa picha ya Samia badala ya nembo ya taifa, sio ishara nzuri

    Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia. Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
  11. Mfumo wa usambazaji fiber (mkonga ) TTCL umekosa plan japo wana huduma nzuri ya internet

    Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma. Ili linawakumba sana...
  12. A

    No reforms No election ni project nzuri lakini ngumu mno. Plan B & C ni ipi?

    Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe.... Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie. Kukubali Uchaguzi katika...
  13. Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3 bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  14. Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  15. Tunajuaje kama bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni nzuri?

    Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na teknolojia. Hata hivyo, si kila bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni yenye manufaa au sahihi kwa...
  16. MATERIAL GANI NZURI ZA KUTUGENEZA KABATI LA NGUO

    Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati? Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
  17. R

    Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  18. M

    Zipi fani zinazotolewa na veta kwa sasa ni nzuri kwa mabinti

    Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and...
  19. Wakuu msaada shule nzuri ya private kwa primary!

    Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri. NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
  20. Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

    Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…