ofisi ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Regina Ndege akabidhi mifuko 30 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Nangara

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, amekabidhi msaada wa mifuko 30 ya saruji yenye thamani ya shilingi laki sita kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika Kata ya Nangara. Soma: Naibu Waziri Utumishi, Regina Ndege: Kwasasa ajira ni...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo Tuombe Amani Ndugu zangu.
  3. JamiiForums Tanzania Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

    Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku. Akiongea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…