Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
3,289
Reaction score
5,964
Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero

Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo

Tuombe Amani Ndugu zangu.
 
aisee vp pale kwa loningo ? pamepona
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero

Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo

Tuombe Amani Ndugu zangu.
Tuombe haki kwanza na amani itakuja yenyewe.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero

Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo

Tuombe Amani Ndugu zangu.
Amani bado kwasasa kuombwa ccm walikuwa wanajitia viburi kisa kutegemea vyombo vya dola wacha kwanza wapewe salamu.
 
Back
Top Bottom