ofisi

  1. B

    Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  2. Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania . Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
  3. George Soros kafunga Ofisi Kenya, chanzo cha mgogoro chadema & Co.!

    George Soros yule mzee wa Kiyahudi ambaye ndiye mmiliki wa open society amefunga na kuondoa funding kwenye Open Society jambo lililopeleka ofisi nyingi ikiwemo ya Nairobi kufungwa, kwa wasiomfahamu George Soros ndiye mdhamini wa mapinduzi Duniani kote kuanzia color revolution North Afrika mpaka...
  4. INAUZWA Ofisi ya movie, computer 21 telabytes inauzwa

    OFISI YA MOVIE inauzwa ni Computer Desktop Core i5 (4th Gen) Brand HP STORAGE 20TB RAM 12GB MONITOR 17INCH (DELL) KEYBOARD MOUSE ina Movie zote za kutafsiriwa hii ilikua ni ofisi ya kumpa mtu kipato cha siku si chini ya 20,000. ina season Zote za kiswahili pendwa za Kutafsiriwa na Ma Dj wa...
  5. Njombe: Mvua iliyoambatana na upepo mkali yaezua ofisi za walimu

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
  6. Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  7. V

    Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  8. Namba zote za ofisi ya NACTVET hazipatikani na Hii ni ofisi ya umma inayotoa huduma

    Tangu Jana nina tatizo kubwa ambalo nahitaji msaada kwa NACTVET lakini namba zao zote zilizopo kwenye website yao hazipatikani. Inamaana mimi nitumie nauli kuvuka mikoa kwa mikoa niende ofisini kuulizia kitu tu? Na hapo nimejaribu hafi kwa njia ya email ila haijajibiwa. Mkurugenzi wa NACTVET...
  9. Serikali ikumbuke kuweka bendera kwenye ofisi zake

    Salaam wana jamii forum, Leo nimeona niikumbushe serikali tukufu ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuhusu kuweka bendera kwenye ofisi za serikali ngazi ya mtaa,kitongoji,Kijiji Hadi kata.maana imekua kawaida kwa sasa kuzikuta ofisi hizi bila kuwepo bendera ya taifa. Kuna umuhimu mkubwa sana...
  10. Waziri Mhagama Awapa Kongole Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu

    WAZIRI MHAGAMA AWAPA KONGOLE BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE NA URATIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama afurahishwa na ushiriki wa ofisi yake katika uzinduzi wa Wiki ya Vijana pamoja na maadhimisho ya kuelekea...
  11. Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

  12. CHADEMA anzeni kufungua ofisi mlizozifunga Mtaani

    Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani . Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya Jumapili njema
  13. KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

    Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
  14. Kumbukumbu Katika Ofisi ya TANU ya Miaka ya 1960

    OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960 Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960. Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii itanikumbusha mengi. Kweli na hakika picha hii imenirudisha nyuma sana na imenikumbusha mbali katika...
  15. Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  16. Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote. asiwe mtu wa hasira au dharau. awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
  17. Waziri Dkt. Ndumbaro akabidhi Mifuko ya Saruji 50 Ujenzi Ofisi za CCM Tawi la Mahenge

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
  18. Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  19. Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…