📍 Igunga, Tabora
Video/clip
Muonekano wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Igunga zinajozengwa kwa mashirikiano ya Mbunge Mhe. Nicholaus George Ngassa na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ahadi ya Mbunge kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ni kuhakikisha Kata Kumi...
Wakazi wa kijiji cha Ngelenge kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoa wa Njombe,wamefunga ofisi ya kijiji pamoja na kumkataa mwenyekiti Thomas Mkinga kwa sababu ya kushindwa kusoma taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha miaka miwili.
Tukio la kufungwa ofisi limetokea julai tatu majira ya saa...
Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku wakimtaka ajiuzulu kwenye nafasi yake.
Frolence Haule ni mmoja wa wananchi wa kijiji hicho ambapo amesema...
Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA.
Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location .
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi.
Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili...
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami.
Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
UANDISHI WA SHERIA
Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria.
Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili.
Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
📍Igunga, Tabora
"Matarajio yetu ni kuwa na Ofisi za kisasa za Chama (CCM) kwenye Kata za Jimbo letu na baadae kwenye Matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni ndoto kubwa , yenye dhamira njema. Tunashukuru Mwenyezi Mungu mwelekeo ni mzuri na ujenzi umeanza na inshallah tutamaliza." - Mhe...
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango.
Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida...
Nilimsikia majuzi Rais wa SMZ akishukuru kwa SJMT baada ya SMZ kupewa ofisi katika ikulu mpya ya Dodoma.
Je, ni kwa sababu ni ikilu mpyaaa au hata pale magogoni SMZ wana Premise zao?
Isitoshe niliwahi kusikia pia kama SMZ walipewa eneo la kujenga Ofisi zao pale Dodoma.
Binafsi najiuliza...
Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli.
Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
Wakuu habari zenu,
Naomba mwenye namba ya Speedaf express ya Tanzania anisaidie maana kuna mzigo wangu sijaupata nataka kuwauliza kama uko ofisini kwao.
Natanguliza shukrani.
Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2023/2024
Mnamo mwaka 2020 Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua alizindua makao makuu mapya ya kaunti hiyo. Jengo hilo jipya, ambalo linafananishwa na Ikulu ya Marekani - lilifunguliwa rasmi Jumatano, Mei 6, 2020 baada ya ujenzi wake kukamilika kwa gharama ya kiasi cha fedha Ksh. 350 milioni ambazo ni...
IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA".
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na zoezi la ujenzi wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Wanachama wa CCM Kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.