Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam
Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi.
Bata:
Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa.
Bundi:
Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote kwenye kikundi- hutumia lugha ngumu na haeleweki
Chura...
Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana ya uwaziri kwani anakuwa anafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi.
Jambo la kushangaza badala ya...
Rais Samia ana kila sababu ya kuivunja ofisi ya DPP na kuisuka upya kwa sababu imeshindwa kukidhi mahitaji ya Taifa na kuonyesha umahiri wake.
Itakumbukwa kuwa Mbowe alikamatwa yapata mwezi mmoja na nusu uliyopita na kuunganishwa katika kesi ya ugaidi inayowakabili watuhumiwa watatu...
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo.
Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.