ofisi

  1. Frumence M Kyauke

    Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  2. chizcom

    Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

    Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji. Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna. Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
  3. J

    Ushauri: Serikali ijenge ofisi za makao makuu kwa kila chama cha upinzani kilichoasisiwa 1992

    Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania wote. Ikumbukwe kuwa vyama vya upinzani 1992 viliundwa na wanaccm wenye mawazo mbadala na hiyo...
  4. beth

    Hewa Chafu India: Mahakama yaagiza Ofisi Jijini New Delhi kufungwa na watu wafanyie kazi nyumbani

    Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta mbinu za kupunguza hewa chafu. Jiji hilo limekuwa likipambana na ukungu wenye sumu tangu mapema Mwezi...
  5. Fantastic Beast

    Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  6. mdukuzi

    Ushauri kuhusu machinga: TFF wapewe ofisi mjini, Karume pageuzwe kituo cha biashara

    Baada ya serikali kuhamia Dodoma kuna majengo mengi sana kule posta hayana kazi mfano wizara ya afya , wizara ya ardhi, wizara ya fedha nk. Serikali iwapatie TFF jengo mojawapo wafanye shughuli zao kama ofisi , wawapatie na ekari kadhaa za ardhi nje ya mji kwa ajili ya kujenga uwanja wa mpira...
  7. beth

    Shirika la Amnesty kufunga ofisi zake Hong Kong kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa

    Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa. Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya miaka 40 imesema Sheria hiyo inafanya Mashirika ya Haki za Binadamu yaliyo Hong Kong kushindwa kufanya...
  8. Prof Koboko

    Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

    Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa. Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango...
  9. D

    Sanduku la maoni kwenye ofisi za Umma ni miyeyusho

    Katika pita pita zangu kwenye ofisi za umma nimejifunza Haya! Ukipeleka maoni yako au kero yako kwa unaeamini ni boss (In charge) wa ofisi ndiyo kwanza unaiongezea ugumu huduma unayotafta Ukiandika maoni yako na kuyaposti kwenye kisanduku cha maoni (suggestion box), Unaemlalamikia ndiye mwenye...
  10. B

    Ubabe: Vyama, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Serikali Ukemewe

    Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa. Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba. Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
  11. pombe kali

    Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  12. Analogia Malenga

    Simiyu: Ofisi ya mtendaji wa kijiji yachomwa moto, mtu mmoja akamatwa kwa upelelezi

    Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana. Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
  13. Sky Eclat

    Katika nchi moja ya Afrika, hii ni ofisi ya serikali ujenzi wake uligharimu milioni 40

  14. Erythrocyte

    Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

    Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa. Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma...
  15. beth

    Afghanistan: Mamia wajitokeza ofisi ya kutoa passport baada ya Taliban kutangaza kurejesha huduma

    Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa Kwa mujibu wa UN...
  16. jollyman91

    Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa mujibu wa duru hizo za habari, shirika la kizayuni la AWZ Ventures linalojihusisha na teknolojia ya ujasusi...
  17. MK254

    Mataifa ya Kenya na Uganda yaongeza mpaka moja zaidi

    Tunaendelea kufunguliana maana biashara zinazoga............... Kenya and Uganda have endorsed the establishment of the third point of entry and exit at their common land boundary to boost cross-border trade. The neighbouring countries’ major crossings are Busia and Malaba borders along the...
  18. Ileje

    Kwa nini ofisi zote za ma-RPC na OCD mezani kuna kitabu cha Ilani ya CCM na hakuna PGO?

    Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf. Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa...
  19. Liverpool VPN

    Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Wajumbe mpoo.... Is Mr. Liverpool onces again na ileile kauli mbiu yake MSIOE MSIOE MSIOE ...!!! Twende kwenye mada; 1. 2007 Nilianza kufanya Kazi za ajira 2007 baada tu ya kumaliza form four niliajiriwa kama karani ofisi fulani Dar. Wakati huo nikiwa mdogo (18Yrs) nilikutana na wakubwaa...
  20. Analogia Malenga

    Uganda: Aliyekuwa Muhasibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu ahukumiwa kwenda jela miaka 40 kwa ubadhirifu

    Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
Back
Top Bottom