Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa.
Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city.
Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO.
Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate.
=========
CCI Global, the largest international...
Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali...
Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:-
- nyingi serikali au jamhuri hushindwa kutokana na ushahidi mbovu. Kwa maana ya upelelezi wa kulipia lipua, au wa kubambika na...
Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini.
Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.
Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.
Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.
Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata!
Google to set up first Africa product development centre in Nairobi
Build for Everyone - Google Careers
KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, na kujionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika...
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
Hawa watu wamekuwa na utaratibu wa kutangaza kozi zinazodhaminiwa na wao kupitia VETA na vyuo vingine hivi. Nilifikiri Ndalichako ataboresha lkn kama alivyokuwa Jensiter huyu mama pia ni hovyo tu.
Kwenye Tangazo lao wanaoomba kujiunga hawatakiwa kuwa na Fomu za Hospitalini kucheki afya zao...
Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza.....
Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya...
==========================
Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
Niaje wadau, nahitaji internet service providers kwa ajili ya shughuli za kiofisi.
Ni kampuni gani iko vizuri na huduma zake ni nafuu!
cc Chief-Mkwawa Extrovert kelphin kepph Behaviourist
Asanteni.
Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka.
Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
Jana niliuliza kuhusu majukumu ya Mhe. Waziri wa mambo ya nje, Leo naangazia utendaji wa Mhe. Waziri wa Fedha.
Naomba anayeweza kueleza Mhe. Waziri wa Fedha wa Tanzania amebuni mikakati Gani yakukuza uchumi? Tofauti na kukopa pamoja na kutoza wananchi tozo ni kipi kipya chenye tija alichofanya...
Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi.
Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza kufungua ofisi na kusimamia Uriah I wa makontena bandarini na wateja kupelekewa bidhaa zao mpaka nyumbani...
Habari wakuu.
Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi.
Piga 0713039875
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.