ofisi

  1. Ofisi za ubalozi nchini Japani zaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kuruhusu watu kufukuana vifusi

    Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
  2. N

    Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  3. Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  4. Ofisi za Uhamiaji Kahama Kupewa Gari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeahidi kupeleka gari Wilaya ya Kahama kwa ajili ya kurahisisha utendaji kazi Ofisi ya Uhamiaji (Immigration) Kahama-Shinyanga kutokana na msongamano mkubwa wa Wahamiaji Kahama. Hayo yamejiri baada ya Mbunge...
  5. Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

    Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara. Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi. Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
  6. Raila Odinga: Tutaandamana leo hadi Ikulu, Tume ya Uchaguzi na Ofisi ya Hazina

    Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali. Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko...
  7. Ofisi ya CAG ifutwe kama hatutaki kupambana na ufisadi

    Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika. Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai...
  8. TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  9. TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

    TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii. Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati...
  10. Ni lini TRA mtawezesha tupate TAX Clearance bila kufika ofisi zenu zenu?

    Habari za wakati huu; Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda. Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili. Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi...
  11. CHADEMA na ACT msione aibu kutomiliki majengo ya Ofisi

    Katika kipindi cha Medani za Siasa kilichorushwa hivi karibuni Star TV nilishuhudia Ado Shaibu, Katibu mkuu wa ACT akijibu swali la umilikaji wa Ofisi zao kijanja na kwa kona kona nyingi sana kutoka kwa mtangazaji Odemba. CHADEMA nao wamekuwa wakikejiliwa sana kuhusu kutomiliki jengo la Ofisi...
  12. Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  13. Ofisi ya Rais Ikulu kutumia Tsh. Trilioni 1.1 mwaka 2023/24

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya...
  14. INAUZWA programu ya PC Ms office 2021 pro+

    Nauza programu ya Ms office 2021 pro+ kwa ghrama ya 20k. Napatikana Dar (Mwenge), karibu na kituo Cha mpakani Nitumie pm ujumbe
  15. Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Mwaka wa fedha 2023/24

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na tija kwa Taifa...
  16. M

    Ofisi ya Rais Ikulu wawe na ukurasa wao hapa JamiiForums

    Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee. Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama kule instagram ili wanajukwaa wajue kinachoendelea hasa teuzi na tenguzi. Aidha habari za PCCB na...
  17. Bendera ya Finland kusimikwa leo nje ya ofisi za NATO

    Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza. Huyo Putin aliwahi kuwatisha...
  18. M

    Wizi unaofanywa Halmashauri ni matokeo ya madiwani wasiowajibika

    Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani. Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao. Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
  19. Ni sawa kwa ofisi ya serikali kutumia pesa kuweka bango la kuwaka?

    Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi...
  20. Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

    Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli. Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu. Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe. Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…