Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la...
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali
Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi.
Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.
ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na...
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji.
Akizungumza na Mwananchi...
Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa.
Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa.
Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja.
Nitahakikisha poroja za Twita...
Moto ni ule ule....mbele kwa mbele.
======
KYIV, Ukraine (AP) — Pro-Kremlin officials on Sunday blamed Ukraine for a rocket attack that struck the mayor’s office in a key Ukrainian city controlled by the separatists as Russia’s war nears the eight-month mark.
Meanwhile, Ukrainian officials...
OWMS YAENDESHA MASHAURI 6,043 YA MADAI NA USULUHISHI
❖ OWMS Yaiwakilisha Serikali Kwenye Mashauri ya Madai na Usuluhushi
❖ Yamaliza Migogoro na Wawekezaji, Wafanyabiashara kwa Njia ya Majadiliano
Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) imeendelea kuiwasilisha...
Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu.
Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza...
50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni.
Kwa mujibu wa utafiti mpya...
Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na kuuza viwanja vingi tu.
Maeneo hayo ni pamoja na Mtumba, Nata, Ihumwa, Nzuguni, Michese...
Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi.
Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG...
Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa, ofisi za umma zimesheheni vishoka, na hii imekuwa ikijidhihirisha hasa kwenye mambo ya ajira.
Ajira zinatangazwa kwa mfano TAMISEMI au Utumishi lakini kuna watu wanaambiwa leta vyeti na kiasi flani cha pesa halafu tulia wewe utapigiwa simu tu au utalikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.