Rais Samia ana kila sababu ya kuivunja ofisi ya DPP na kuisuka upya kwa sababu imeshindwa kukidhi mahitaji ya Taifa na kuonyesha umahiri wake.
Itakumbukwa kuwa Mbowe alikamatwa yapata mwezi mmoja na nusu uliyopita na kuunganishwa katika kesi ya ugaidi inayowakabili watuhumiwa watatu...