ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  2. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa awataka Watumishi wa Ardhi watoke ofisini waingie mtaani kuhudumia Wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka Watumishi wote wa Ardhi nchini kutoka maofisini na kwenda kutoa huduma ya wananchi kwa kuanzisha Kliniko ya Ardhi ambayo itafanua kazi kwa uwazi zaidi. Jerry Slaa ametoa agizo hilo wakati akikabidhi Hati za viwanja katika Mtaa...
  3. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  4. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  5. TODAYS

    Haya ni Maandamano ya Chumbani na Ofisini au Barabarani?.

    Tunajua Asilimia kubwa ya watanzania bado hawaelewa au kujua kabisa haki yao ya msingi katika taifa ni ipi kupitia katiba. Na hata kama tunajua ila bado haki yetu ya msingi kutoka kwa serikali haina maana sababu serikali hiyo hiyo ndiyo inakupa kibali na hiyo hiyo inakunyima kisa inaogopa popo...
  6. S

    Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  7. K

    Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi. Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
  8. Bull Bucka

    Kisa cha binti wa field na host supervisor wake

    Moja kati ya mambo yamezungumzwa sana ni pamoja na rushwa ya ngono katika taasisi za elimu - yaani wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu kuombwa au kutoa "utamu" kwa wakufunzi ili wapate alama nzuri na kisha wafaulu mitihani yao. Hili limezungumzwa sana na hadi uchunguzi wa kina umefanyika katika...
  9. Kingsmann

    Rais Biden amehojiwa kuhusiana na faili za siri zilizopatikana nyumbani kwake na ofisini

    Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza Jumatatu. "Rais amehojiwa kama sehemu ya uchunguzi unaoongozwa na Wakili Maalum Robert Hur,"...
  10. Sildenafil Citrate

    Tundu Lissu apuuza wito wa DCI Kingai, asema hatoenda ofisini kwake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya. Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda. “Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote...
  11. Meneja Wa Makampuni

    DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  12. Bushmamy

    Arusha: Daladala zagoma tena Arusha, leo Agosti 14, 2023

    Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu. Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais...
  13. Bushmamy

    Mgomo wa daladala na bajaji Arusha wamng'oa Mwakalebela wa LATRA Arusha

    Migomo ya daladala na Bajaji a inayoendelea bila kupatiwa ufumbuzi katika jiji la Arusha,imetajwa kumg'oa aliyekuwa ofisa wa LATRA mkoa wa Arusha Amani Mwakalebela baada ya kushindwa kutatua migogoro hiyo na kusababisha usumbufu kwa wanchi ,wafanyabiashara na wanafunzi kukosa usafiri. Kuhusu...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  15. C

    Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

    Leo naandika kwa hasira. Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol? Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..! Taarifa hii hapa chini kwa uchache:- Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati...
  16. R

    Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  17. K

    Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

    Dr Rugemeleza Nshala aliitwa polisi kwenda kuhojiwa, siyo kwa uchunguzi wa kutishiwa kwake, bali kwa yale aliyoyasema kuhusu suala la Bandari. Sasa wala haieleweki kama alikwenda kuhojiwa, na kama alipewa masharti asiseme chochote kuhusu mahojiano hayo? Katika hali ya kawaida, ilitegemewa...
  18. S

    Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
  19. Mboka man

    Naomba ushauri kutokana na changamoto ninazopitia ofisini ninapofanyia kazi

    Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa 1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi 2. Work mate niliokutana nao ofisini hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi 3. Upande wa boss...
  20. Mwachiluwi

    Ingekuwa Tanzania 🇹🇿 tunafanya kazi nyumbani za ofisini kwako ingekuwaje?

    He'll Africa Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje? Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini...
Back
Top Bottom